PreGE2025 Hawa ndio wabunge ving'ang'a wanaotaka kuzeekea bungeni, kwani Wana hisa pale mjengoni??

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Hawa ndiyo wabunge wenye muda mrefu bungeni, mtu amekaa miaka 30 ila majimbo yao yana shida ya maji, umeme, changamoto za kilimo n.k.

Nadhani ni muda sasa wapumzike.

William Lukuvi
1995 -2025 (30), Ismani -Iringa
George Huruma Mkuchika
2005 - 2025 (20)Newala- Mtwara
Mussa Azzan Zungu
2005 - 2025 (20) Ilala- Dar es Salaam
George Boniface Simbachawene
2005 - 2025 (20) Kibakwe Dodoma
Job Ndugai
2005 - 2025 (20) Kongwa- Dodoma
Hussein Nassor Amar
2010 - 2025 (15) Nyangโ€™wale -Geita
Jason Samson Rweikiza
2010 - 2025 (15) Bukoba Vijijini -Kagera
Selemani Moshi Kakoso
2010 - 2015 (15) Mpanda Vijijini Katavi
Anna Richard
2005-2010, 2015-2025(15) Lupembe Njombe
Christopher Ole โ€“ Sendeka
2005-2015, 2020-2025 (15) Simanjiro, Manyara
Vedastus Mathayo Manyinyi
2005-2010, 2015 - 2020 - 2025 (15) Musoma Mjini, Mara
Sospeter Mwijarubi Muhongo
2012 - 2025 (13), Musoma Vijiji- Mara
Abdulaziz Mohamed Abood
2010 - 2025 (15), Morogoro Mjini
Mansoor Shanif Jamal
2010 - 2025 (15), Kwimba- Mwanza
Deo Sanga
2010 - 2025 (15) Makambako- Njombe
Koka Silyvestry Francis
2010 - 2025 (15) Kibaha Mjini- Pwani
Selemani Saidi Jafo
2010 - 2025 (15), Kisarawe- Pwani
Livingstone Lusinde
2010 -2025 (15) Mtera
Ahmedy Shabiby
2005 - 2025 (20) Gairo
Charles Mwijage
2010 - 2025 (15) Muleba
Pindi Chana
2010 - 2025 (15) Special seat
Manyanya Stella Martin
2010-2025 (15) Nyasa
Jenista Joakim Mhagama
2000-2015 (25) Perahimiho
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu
2010-2025 (15) Iramba Magharibi
David Silinde
2010-2025 (15) Tunduma
Ummy Ally Mwalimu
2010 -2025 (15) Tanga Mjini
January Makamba
2010-2025 (15) Bumbuli
 
Hili ni Janga jingine
 
Kabisa ase.. lakini hii nchi raia tunachoma sana. Ifike mahali tuwe serious na vizazi vijavyo tuache kujifikiria sisi tu.
 
Mansoor wa kwimba this time harudi bungeni
 
Kata hiko kichwa kisicho na thamani ni mzigo tu kwenye shingo bora uwe na shingo tupu utaifunika hata na kitambaa
mihemko na makasiriko yako yakutie nguvu ndugu mropkaji ๐Ÿ’
 
kwanini munateseka nao ? ikiwa wapiga kura wao bana wanawahitaji
 
Hii ni ordha ya wabunge waliokaa sana bungeni
1. William Lukuvi
2. January Makamba
3. Nape Nauye
4. Deo Sanga nk

Tujadili wamefanya nini majimboni kwao ili tuone wananchi wa sehemu nyingine kama wanaweza kuiga mfano kwenye hayo majimbo,
 
Hii ni ordha ya wabunge waliokaa sana bungeni
1. William Lukuvi
2. January Makamba
3. Nape Nauye
4. Deo Sanga nk

Tujadili wamefanya nini majimboni kwao ili tuone wananchi wa sehemu nyingine kama wanaweza kuiga mfano kwenye hayo majimbo,
Hawa ni wale wabunge wanaondelea kutembelea nyita za wazazi wao au ule upepo wa kudanganya danganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ