PreGE2025 Hawa ndio wabunge ving'ang'a wanaotaka kuzeekea bungeni, kwani Wana hisa pale mjengoni??

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio maana tunasema no reforms no election! Wataachaje kuwa wabunge wa kudumu wakati akishapitishwa tu na ccm hakuna wa kukohoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…