Hawa ndio wachambuzi Bora wa mpira hapa JF 2023

Huyo namba moja mtoe hapo hastahili hata kwa kulumangia...ana uchambuzi na nyuzi za kitoto za kiutopolo kabisa..
Tate Mkuu yuko vizuri kwny kuongelea mpira hasa kwny comments zone sema ana mahaba mno na utopolo yake..
Charles kilian ni mchangiaji mzuri hana bias..yani in short ni mzungu..ni uto lakini hajataka mapenzi ya uto yamtoe kweny mstari...
Huyu NALIA NGWENA ni mchambuzi mzuri yupo utopolo lakini ana akili mingi..ndio kuna muda anatuboa upande wa pili ila kwny ukweli ni mkweli angalau...
Kumbuka pia wewe bibiye Kalpana na mwenzako Nifah, aisee hamna tofauti na yule Salama Ngale wa Azam Media. Lazima niwape maua 🌷🌹💐 yenu kwa kweli. 🙌
 
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Dah! Mwakani nitajitahidi nipate muda ili niwe nakuja na mada za kujenga zaidi kwenye hili jukwaa letu pendwa la michezo. Kushika nafasi ya 4 siyo mchezo eti!!

Yaani hapo maana yake mpaka mdogo wangu wa hiyari GENTAMYCINE na kusoma kwake SAUT, bado nimemgaragaza eti!! 😁
 
Bila jina la GENTAMYCINE huu uzi futa tu.
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
 
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Hii list bila popoma GENTAMYCINE ni takataka.
 
Dah! Mwakani nitajitahidi nipate muda ili niwe nakuja na mada za kujenga zaidi kwenye hili jukwaa letu pendwa la michezo. Kushika nafasi ya 4 siyo mchezo eti!!

Yaani hapo maana yake mpaka mdogo wangu wa hiyari GENTAMYCINE na kusoma kwake SAUT, bado nimemgaragaza eti!! [emoji16]
Voice college ni secondary iliyochangamka[emoji23]
 
Mbona hii ni list yetu Wananchi jamani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikitulia nitakuja na wa kwangu, japo Mdakuzi hawezi kukosekana.

Kuna watu kadhaa huku huwa wananikosha ktk jukwaa la michezo, tuwape sifa zao regardless ni makolo au lah!
Kama Nan [emoji23][emoji23]
 
Umejipakulia minyama bro Laban [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo namba moja mpeni mwenye jukwaa lake Genta
Hapana mkuu....genta yupo kwenye list ya watu wenye ban [emoji23]
 
Back
Top Bottom