Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄 😊😊😊haya mtani...Yale si majina bhana, si tulikubaliana kuwa Mashabiki wa Simba na Yanga ni Watani [emoji848][emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😆😆😆uzuri wako hunaga hasira...Hapana mkuu....sisi wachambuzi ni mwiko kuwa mshabiki wala mwanachama wa timu
Kumbuka pia wewe bibiye Kalpana na mwenzako Nifah, aisee hamna tofauti na yule Salama Ngale wa Azam Media. Lazima niwape maua 🌷🌹💐 yenu kwa kweli. 🙌Huyo namba moja mtoe hapo hastahili hata kwa kulumangia...ana uchambuzi na nyuzi za kitoto za kiutopolo kabisa..
Tate Mkuu yuko vizuri kwny kuongelea mpira hasa kwny comments zone sema ana mahaba mno na utopolo yake..
Charles kilian ni mchangiaji mzuri hana bias..yani in short ni mzungu..ni uto lakini hajataka mapenzi ya uto yamtoe kweny mstari...
Huyu NALIA NGWENA ni mchambuzi mzuri yupo utopolo lakini ana akili mingi..ndio kuna muda anatuboa upande wa pili ila kwny ukweli ni mkweli angalau...
Dah! Mwakani nitajitahidi nipate muda ili niwe nakuja na mada za kujenga zaidi kwenye hili jukwaa letu pendwa la michezo. Kushika nafasi ya 4 siyo mchezo eti!!Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.
So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo
2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake
3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu
4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf
5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako
6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023
NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.
So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo
2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake
3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu
4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf
5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako
6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023
NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Kwa kweli Katika uchambuzi wa soka Genta sio mchambuzi mkuu,,,,ila ni mdau mkubwa wa soka na analichangamsha sana jukwaa la michezo.Gentamycine ni jitu linalotisha....lazima uogope kulitaja maana ni kivumbi na nusu
Hii list bila popoma GENTAMYCINE ni takataka.Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.
So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo
2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake
3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu
4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf
5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako
6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023
NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Voice college ni secondary iliyochangamka[emoji23]Dah! Mwakani nitajitahidi nipate muda ili niwe nakuja na mada za kujenga zaidi kwenye hili jukwaa letu pendwa la michezo. Kushika nafasi ya 4 siyo mchezo eti!!
Yaani hapo maana yake mpaka mdogo wangu wa hiyari GENTAMYCINE na kusoma kwake SAUT, bado nimemgaragaza eti!! [emoji16]
Labda kwenye list ya wala ban[emoji23]Bila jina la GENTAMYCINE huu uzi futa tu.