Hawa ndio wachambuzi Bora wa mpira hapa JF 2023

Ndugu Labani og sisi mapro huwa tunajuana
Hivyo basi sina namna zaidi ya kukubali nishani uliyonipatia ingawaje Mimi binafsi nakukubali sana na nyuzi zako konki hasa za yanga ..

Naona kwa mbaliiii kuna majitu yananionea wivuuuu
 
Kalpana afu kuna cocastic kufeni mbwa nyie
Panya weee...Bata wa head...kwanza ndo nakuona leo ...
 
Namba 3 ha 6 sio wachambuzi Bali hawajatekwa na ushabiki wanapotoa maoni, hapo ungemwongeza Changaule. Waliobaki ndio wachambuzi vilaza wenye mahaba yaliyopitiliza kwa timu yao,.
 
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023

8. Nifah ....Kwa kweli huyu kiongozi anaujua sana mpira ...hata Mimi najionaga mweupe [emoji23][emoji23][emoji122]

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Hahaha mwakani niingie chimbo niwe nawapa madini
 
Ndugu Labani og sisi mapro huwa tunajuana
Hivyo basi sina namna zaidi ya kukubali nishani uliyonipatia ingawaje Mimi binafsi nakukubali sana na nyuzi zako konki hasa za yanga ..

Naona kwa mbaliiii kuna majitu yananionea wivuuuu
Achana nao mkuu [emoji23] ukweli unajulikana
 
Namba 3 ha 6 sio wachambuzi Bali hawajatekwa na ushabiki wanapotoa maoni, hapo ungemwongeza Changaule. Waliobaki ndio wachambuzi vilaza wenye mahaba yaliyopitiliza kwa timu yao,.
Fuatilia mkuu.....watu Wana madini hatari
 
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023

8. Nifah ....Kwa kweli huyu kiongozi anaujua sana mpira ...hata Mimi najionaga mweupe [emoji23][emoji23][emoji122]

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
GENTAMYCINE anafanya nini sasa?
 
Back
Top Bottom