Hawa ndio wachezaji 10 bora wa soka duniani wa muda wote

Hana kigezo cha kuwepo hapo...tatizo watanzania mnaangalia madoido uwanjani, but kaipa mafanikio gani tim yake! Hilo ndio swali!

Uefa ana 1
Ballon de ore 1

Sasa utamuweka wapi hapo, hata zidana na de lima wamemzidi...
wewe chizi kweli........kila kombe kabeba hu7yu binadamu,huyo andunje wako world cup anaiona ktk magazeti
 
Asee nilikuwa Nina mtazamo kama wako,kuna siku kuna mtu alitupia video ya Pelle ambapo content ya ile video ilisema Mambo mengi wanayofanya wachezaji wote Wa Leo uwanjani Pelle aliyafanya karne iliyopita. Asee ni hatari fire! Ila kwa upande wangu huwa Nina mahaba ya namna ya uchezaji Wa Maradona + Messi. Pamoja na hayo yote ila ni mwiko kumbeza Pelle asee
 
wewe chizi kweli........kila kombe kabeba hu7yu binadamu,huyo andunje wako world cup anaiona ktk magazeti

Mbona povu hivyo kamanda...Nimetoa maoni na mtazamo wangu, kama unapinga, pinga kwa hoja au kubali kwa hoja au unaweza pia kupinga bila kuwa na hoja....but sio kuniambia mimi "chizi" hata hivyo nashukuru maana haujanipunguzia kitu....
 
Lile pele linajua acha
 
Hana kigezo cha kuwepo hapo...tatizo watanzania mnaangalia madoido uwanjani, but kaipa mafanikio gani tim yake! Hilo ndio swali!

Uefa ana 1
Ballon de ore 1

Sasa utamuweka wapi hapo, hata zidana na de lima wamemzidi...
Vipaji sasa hivi vimejifia tu, angalia generation ya Gaucho na ile iliyomtangulia kidogo tu na linganisha na hii ya akina Mesi na CR7. Siamini kama hata CR7 kamzidi Raul Gonzalez.
 
Ronaldinho Gaucho ni baba lao hao akina Messi na C Ronaldo 7bu aliikuwepo kipindi ambacho ulikuwa huwezi kujua atayechukua tuzo ya uchezaji bora wa dunia ni yupi tokana na ushindani uliokuwepo wa wachezaji wengi wenye vipaji vingi zaidi vya kuuchezea mpira watakavyo kama vile wao ndiyo waliuunda mpira.
 
Correction sio wa muda wote Bali ni wa mpaka muda huu;

Hatujui in 20 years to come nani atakuja na atafanya maajabu gani.
 
Mara ya mwisho kuangalia laliga ilikuwa lini, unaangaliaga timu zipi kama si Real Madrid, Barcelona na Atletico Madrid pekee?
Nipe sababu za messi kuondoka laliga kwenda ligi nyingine!
Kwa misimu saba mfululizo mfungaji bora wa wa uefa anatokea Spain, mchezaji bora wa uefa anatokea spain, kikosi bora cha uefa 95% kinaundwa na timu za Spain

Messi atoke hapo spain aende wapi!? Labda kwenye sayari ya mars
 
Messi hawezitoka hapo kamwe maana hana uwezo wa kupambana kwingine kama CR 7 ambaye popote anaweka kambi na anafanikiwa.

Kama kweli anajiamini mwambie atoke hapo akafanikiwe ktk ligi nyingine kama alivyopambana CR 7 tangu akiwa Ureno, Uingereza, Hispania na Italy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…