XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
Kwani vigezo vya ubora huvijui?
Wangeweka na vigezo basi na sisi tupime kama kweli wana deserve.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangeweka na vigezo basi na sisi tupime kama kweli wana deserve.
wewe chizi kweli........kila kombe kabeba hu7yu binadamu,huyo andunje wako world cup anaiona ktk magazetiHana kigezo cha kuwepo hapo...tatizo watanzania mnaangalia madoido uwanjani, but kaipa mafanikio gani tim yake! Hilo ndio swali!
Uefa ana 1
Ballon de ore 1
Sasa utamuweka wapi hapo, hata zidana na de lima wamemzidi...
Asee nilikuwa Nina mtazamo kama wako,kuna siku kuna mtu alitupia video ya Pelle ambapo content ya ile video ilisema Mambo mengi wanayofanya wachezaji wote Wa Leo uwanjani Pelle aliyafanya karne iliyopita. Asee ni hatari fire! Ila kwa upande wangu huwa Nina mahaba ya namna ya uchezaji Wa Maradona + Messi. Pamoja na hayo yote ila ni mwiko kumbeza Pelle aseeTatizo huwa mnakalili, kwanza zamani mipira yao ilikuwa ya kiboya... namba moja anatakiwa akae Messi, na Christiano Ronaldo anatakiwa awe ndani ya top 3...tusitake kuwashusha eti kwa kulinganisha na wa zamani, wakat kiuhalisia wamewapita kila kitu,..wa zaman walifanya sehemu yao ila Messi na Ronaldo wamefanya makubwa zaid na wamelast for long hyo ni sifa nyingne, kuja kutokea wachezaji kama hawa itachukua milenia, wengi watakuwa wanaishia miaka mitatu tu au mi nne ya mafanikio
wewe chizi kweli........kila kombe kabeba hu7yu binadamu,huyo andunje wako world cup anaiona ktk magazeti
Huyo messi anafanya kitu kilekile toka mwaka 2008,mi nashangaa messi na ronaldo kuwemo halafu gaucho hayumo!!..huo ni ukafiri wa waziWewe hujamuona kipindi Maradona anacheza mpira yani Mess hata robo hamfikii Maradona
Messi huyuhuyu anaeweza kucheza barcelona tu na la liga!?Messi anatakiwa awe namba moja
Halafu mtoe cristiano muweke gaucho
Lile pele linajua achaAsee nilikuwa Nina mtazamo kama wako,kuna siku kuna mtu alitupia video ya Pelle ambapo content ya ile video ilisema Mambo mengi wanayofanya wachezaji wote Wa Leo uwanjani Pelle aliyafanya karne iliyopita. Asee ni hatari fire! Ila kwa upande wangu huwa Nina mahaba ya namna ya uchezaji Wa Maradona + Messi. Pamoja na hayo yote ila ni mwiko kumbeza Pelle asee
Messi huyuhuyu anaeweza kucheza barcelona tu na la liga!?
Mbona sioni pa ku-like!!..gaucho habari nyingine ileList yoyote ya wachezaji bora kabisa wa dunia isipokuwa na jina la Gaucho, the first and the last true prophet of football , hiyo ni fake and bogus
wewe chizi kweli........kila kombe kabeba hu7yu binadamu,huyo andunje wako world cup anaiona ktk magazeti
Vipaji sasa hivi vimejifia tu, angalia generation ya Gaucho na ile iliyomtangulia kidogo tu na linganisha na hii ya akina Mesi na CR7. Siamini kama hata CR7 kamzidi Raul Gonzalez.Hana kigezo cha kuwepo hapo...tatizo watanzania mnaangalia madoido uwanjani, but kaipa mafanikio gani tim yake! Hilo ndio swali!
Uefa ana 1
Ballon de ore 1
Sasa utamuweka wapi hapo, hata zidana na de lima wamemzidi...
Nilikubishia sana kitambo flani ktk Uzi wako ukakataa.Anyway najisikia Mwenye bahati sana kuwahi kumuona MessiEti Diego namba 1, Alafu Messi namba 2...si maajabu haya 😉Shenzi kabisa
Nilikubishia sana kitambo flani ktk Uzi wako ukakataa.Anyway najisikia Mwenye bahati sana kuwahi kumuona Messi
Ronaldinho Gaucho ni baba lao hao akina Messi na C Ronaldo 7bu aliikuwepo kipindi ambacho ulikuwa huwezi kujua atayechukua tuzo ya uchezaji bora wa dunia ni yupi tokana na ushindani uliokuwepo wa wachezaji wengi wenye vipaji vingi zaidi vya kuuchezea mpira watakavyo kama vile wao ndiyo waliuunda mpira.Tatizo huwa mnakalili, kwanza zamani mipira yao ilikuwa ya kiboya... namba moja anatakiwa akae Messi, na Christiano Ronaldo anatakiwa awe ndani ya top 3...tusitake kuwashusha eti kwa kulinganisha na wa zamani, wakat kiuhalisia wamewapita kila kitu,..wa zaman walifanya sehemu yao ila Messi na Ronaldo wamefanya makubwa zaid na wamelast for long hyo ni sifa nyingne, kuja kutokea wachezaji kama hawa itachukua milenia, wengi watakuwa wanaishia miaka mitatu tu au mi nne ya mafanikio
Unataka aende kwenye ligi dhaifu? Angalia uefa ndani ya miaka saba imeenda spain sasa ahame aende wapi
Nipe sababu za messi kuondoka laliga kwenda ligi nyingine!Mara ya mwisho kuangalia laliga ilikuwa lini, unaangaliaga timu zipi kama si Real Madrid, Barcelona na Atletico Madrid pekee?
Nipe sababu za messi kuondoka laliga kwenda ligi nyingine!
Kwa misimu saba mfululizo mfungaji bora wa wa uefa anatokea Spain, mchezaji bora wa uefa anatokea spain, kikosi bora cha uefa 95% kinaundwa na timu za Spain
Messi atoke hapo spain aende wapi!? Labda kwenye sayari ya mars