BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think he is right chaliloo,Messi ana maajabu gani mbele ya Xdona??Eti Diego namba 1, Alafu Messi namba 2...si maajabu haya 😉Shenzi kabisa
Wewe hujamuona kipindi Maradona anacheza mpira yani Mess hata robo hamfikii MaradonaEti Diego namba 1, Alafu Messi namba 2...si maajabu haya 😉Shenzi kabisa
You are right man
Maradona ana mipira ambayo wachezaji wa sasa hawawezi kuicheza, ila Gaucho naye ana mipira ya ajabu.Wewe hujamuona kipindi Maradona anacheza mpira yani Mess hata robo hamfikii Maradona
Wangeweka na vigezo basi na sisi tupime kama kweli wana deserve.
Mimi ni nani mpaka niwanishie 442?
Messi afai huyo ni mtu wa tofauti...ila denlsoni kama sijamwona hivi....
I think he is right chaliloo,Messi ana maajabu gani mbele ya Xdona??
Dah..we jamaa kweli unajua mpira!List yoyote ya wachezaji bora kabisa wa dunia isipokuwa na jina la Gaucho, the first and the last true prophet of football , hiyo ni fake and bogus
List yoyote ya wachezaji bora kabisa wa dunia isipokuwa na jina la Gaucho, the first and the last true prophet of football , hiyo ni fake and bogus
WC ana 1 pia.Hana kigezo cha kuwepo hapo...tatizo watanzania mnaangalia madoido uwanjani, but kaipa mafanikio gani tim yake! Hilo ndio swali!
Uefa ana 1
Ballon de ore 1
Sasa utamuweka wapi hapo, hata zidana na de lima wamemzidi...
Tatizo huwa mnakalili, kwanza zamani mipira yao ilikuwa ya kiboya... namba moja anatakiwa akae Messi, na Christiano Ronaldo anatakiwa awe ndani ya top 3...tusitake kuwashusha eti kwa kulinganisha na wa zamani, wakat kiuhalisia wamewapita kila kitu,..wa zaman walifanya sehemu yao ila Messi na Ronaldo wamefanya makubwa zaid na wamelast for long hyo ni sifa nyingne, kuja kutokea wachezaji kama hawa itachukua milenia, wengi watakuwa wanaishia miaka mitatu tu au mi nne ya mafanikioMaradona ana mipira ambayo wachezaji wa sasa hawawezi kuicheza, ila Gaucho naye ana mipira ya ajabu.
Kuna huyu Romario wa Brazil, hakuna anayejua kufunga magoli kama huyu kwa mtazamo wangu.
Kuna beki bora kabisa duniani Roberto Carlos, hakuna kama yeye mpaka sasa na anacheza kote mechi zote.
WC ana 1 pia.