Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kitambo sana Brother,Special love kwa
1. Kasie
2. Joannah
3. To yeye
4. Saint Anne
5. Depal
6. Dr Lizzy - huyu ninamfahamu vizuri sana japokuwa huku hajui mimi ni nani
Hawa ni wachangiaji ambao wapo real sana, nawapa maua yao na nawapenda na kupenda contents zao sana japokuwa hakuna ninayefahamu kati yao.
zitaje na wwkila uzi unaohusu wanawake wa jf id ni zile zile tu kama za hapa lakini ukweli zipo id za kike hapa jf sio popular lakini wapo vizuri mno, hii cycle ya tags ni ile ile kila leo, and of day ni too generally.
Jike.wewe ni dume au jike?
La HELA YOTE ππππ KATAFUNUA ππIla wizo emu punguza bange πππ
Dudu la nini?!!
Kumbe Faiza ni DUME?? πππππ€£πππππππ ww bibi yangu mwenzio afu unamuita dume?! Ebu mtake radhi
Wanawake Wote ni wazuri sana mkuu.
hahahhahah mwache madam bhana mbna hana baya mi na mwalewa sanaHuyo alishakata ringi... slayqueen wa enzi za TANU hana mvuto kwa sasa.
wacha bhanaaaMtu kama Faiza foxy nimefatilia mlengo wake, uandishi, hoja zake na muda anaotumia hapa JF kuwa active ni dhahiri kuwa sio mwanamke . Hata wewe fatilia hili.
wacha bhanaaa
Kisungura πππKaribu sana mkuu.
Kinachonivutia kwako ni kuwa hupendi Wanawake waonewe, hasa kimtazamo na maoni ya Watu kuwahusu ninyi. Hata hivyo hupendi kwa kutumia Facts na sio kutaka upendeleo.
Watu kama nyie mkinizingua huwaga nameza tuu fumba la mate kooni alafu najifanya kama sijaona.
Lakini siku ninywa zangu kisungura mtanikoma
Kumeanza kuchangamka[emoji1787][emoji1787]Kwa kifupi, Taikon ametaja madem wanaoisuuza roho yake. Wanaofanya moyo wake udunde kama ngoma ya kijiji. Ndio maana yuko tayari kutuliza munkari a.k.a mawenge, hata kama wakimrarua kwenye comments!
Samahani, hapa ndio kwenye vita?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji849][emoji849][emoji849]Wa humu hapana... Nataka asiyetumia Jf[emoji2][emoji2]
[emoji1][emoji1]Hapana kwangu.
Ingawaje hatujawahi kugombana na kila mtu na time yake tukiwa humu JF lakini dish lake sina uhakika nalo.
Samahani lakini ( in Kuhani Musa Mwacha voice wa ngome ya Yesu )