The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Nipo aisee, mara moja moja sana nipo huku, Mungu ni mwema tupo pamojaKitambo sana Brother,
Za siku nyingi?
Umepotea sana Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo aisee, mara moja moja sana nipo huku, Mungu ni mwema tupo pamojaKitambo sana Brother,
Za siku nyingi?
Umepotea sana Mkuu.
[emoji122]binti kiziwi huyu dada ana busara sana anaelekea ni mrembo pia
😶😶🤔[emoji849][emoji849][emoji849]
Acha wivu kijana🤣🤣🤣🙌... Vipi lakini unaendeleje?
Mmepotea sana wakongwe hadi jukwaa tunaliona halina maana ,maana watu tuliozoea kuwaona wamepotea.Nipo aisee, mara moja moja sana nipo huku, Mungu ni mwema tupo pamoja
Barikiwa sana Kamanda😉Special love kwa
1. Kasie
2. Joannah
3. To yeye
4. Saint Anne
5. Depal
6. Dr Lizzy - huyu ninamfahamu vizuri sana japokuwa huku hajui mimi ni nani
Hawa ni wachangiaji ambao wapo real sana, nawapa maua yao na nawapenda na kupenda contents zao sana japokuwa hakuna ninayefahamu kati yao.
😆😆😆ah wapi bwana wee ni pisi kali alafu ndio maana National Anthem kila nikimwambia nipigie pamde mwa mrembo alikuwa ananinyima namba kumbe kwa kuwa wee ni pisi kali
Huyo ni bibi sio dada.bila kumsahau faiza foxy huu uzi ni batili vinginevyo
Atakuwa ameenda vacation na bby wake.😆😆😆
We shauri lako...ngoja siku tugongane huko mjini alafu uanze kulalamika uliongopewa!
Alafu umempeleka wapi National Anthem maana nimemiss na haonekani popote!😐
Mimi nasomaga comment nachekaaa, nikirudi kuangalia aliyeandika nakuta anko Fujo🤣🤣🤣🤣 Una Fujo kweli....thank you
🤣🤣🤣 kwani nawe ni furushi?ukianza mambo ya kutuita furushi nitakuwezea wapi?
Shukrani sana rafiki [emoji120][emoji7]Kwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
Asante mkuuDonatila namuelewa huyu Mama sana Ila sasa Manabii na Mitume wa uongo wamemshika masikio hasikiii wala haoni Mwamposa Nabii Kuhani Musa
mama D namwelewa sana Ila sasa na yeye ndio wale wale km Donatila ni Manabii na Mitume wa uongo wamemshika mpaka pua na macho hasikiii haoni hanusi Mwamposa Nabii Mtume Kuhani Musa
Lamomy huyu nae namwelewa Ila alipoanza kujifanya eti na yeye ameokoka nikajua tu hapa tayari ameshapatwa na tatizo la mfumo wa saikolojia kwenye ubongo wake soon anaenda kutapeliwa pakubwa
FaizaFoxy Bibi wa JF kutoka Canada namuelewa sana Ila sasa huyu balaa lake ni mfia Dini wa Muhhamediah yaan humwambii kitu kuhusu Allahu Akbaru
Hao ni wachache kati ya wengi