ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Merry Christmas in advance dear shem😘Aaaaaaaawwww!!!!
Merry Christmas in advance my Forever Shem Bae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Merry Christmas in advance dear shem😘Aaaaaaaawwww!!!!
Merry Christmas in advance my Forever Shem Bae.
Unawezaje kukariri majina yote hayo na miandiko, huna Cha kufanya?Stupid Kama nani kwenye ukoo wenu au wewe mwenyewe?
Kumekucha 😂😂😂Unawezaje kukariri majina yote hayo na miandiko, huna Cha kufanya?
☺️☺️☺️
Basi niite Bubu Muimba KwayaUsername yako sio poa
Basi niite Bubu Muimba Kwaya
Kweli dini unatakiwa uwe nazo makini.Faiza Foxy tatizo lake ni mbinafsi linapokuja suala la Dini yake. Yeye kila kitu uislamu.
Hapo ndipo anapopoteza.
Wakati dini ni kama club za mpira yaani simba na Yanga
Nyuzi za mwisho wa mwaka hizi...
Sawa.Kwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili. Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari. Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo:
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira (ya ukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
Sawa.
Sawa pia.Chai
Kabisa, uko sawa. Yupo vizuri huyu dada.Ulishawahi kujadiliana na binti/mdada/mama mmoja anaitwa Heaven Sent? Huyu akikushauri au kukuambia kitu ni lazima ukae chini na ujitafakari maana ana nondo nzito sana na huwa hakurupuki!
Sijaona mwenye uzi akutaje. Binafsi naonaga mwandiko wako uko na busara pia plus snow white japo humu nyie hamchangii mara kwa mara.Aaaaaaaawwww!!!!
Merry Christmas in advance my Forever Shem Bae.
We hamna kitu.. Ukiniambia nitulie me nawaka moto.Barikiwa sana kiongozi
Hahah😂😂..nilitaka nishangaeWe hamna kitu.. Ukiniambia nitulie me nawaka moto.
Sawa pia.