Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

ah wapi bwana wee ni pisi kali alafu ndio maana National Anthem kila nikimwambia nipigie pamde mwa mrembo alikuwa ananinyima namba kumbe kwa kuwa wee ni pisi kali
😆😆😆
We shauri lako...ngoja siku tugongane huko mjini alafu uanze kulalamika uliongopewa!

Alafu umempeleka wapi National Anthem maana nimemiss na haonekani popote!😐
 
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumegongwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Mno Ndugu Zangu
Vyovyote Nitakavyosema Najua Mmenielewa
Hivi Wewe Ukiwa Na Binti Yako Unaweza Kukubali Lijamaa Limkumbatie Na Halijatoa Mahari
Kwanza Wanaopendana Chuoni Hawaoani


By John Pombe Joseph Magufuli Mzilankende
 
Bila FAIZA FOXXY sikupingi lakini dah....Acha niishie hapa.
 
Kwema Wakuu!

Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.

Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.

Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.

Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.

Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;

1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.

Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).

Nawatakia Sabato Njema
Shukrani sana rafiki [emoji120][emoji7]
 
Donatila namuelewa huyu Mama sana Ila sasa Manabii na Mitume wa uongo wamemshika masikio hasikiii wala haoni Mwamposa Nabii Kuhani Musa

mama D namwelewa sana Ila sasa na yeye ndio wale wale km Donatila ni Manabii na Mitume wa uongo wamemshika mpaka pua na macho hasikiii haoni hanusi Mwamposa Nabii Mtume Kuhani Musa

Lamomy huyu nae namwelewa Ila alipoanza kujifanya eti na yeye ameokoka nikajua tu hapa tayari ameshapatwa na tatizo la mfumo wa saikolojia kwenye ubongo wake soon anaenda kutapeliwa pakubwa

FaizaFoxy Bibi wa JF kutoka Canada namuelewa sana Ila sasa huyu balaa lake ni mfia Dini wa Muhhamediah yaan humwambii kitu kuhusu Allahu Akbaru

Hao ni wachache kati ya wengi
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom