Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Special love kwa

1. Kasie
2. Joannah
3. To yeye
4. Saint Anne
5. Depal
6. Dr Lizzy - huyu ninamfahamu vizuri sana japokuwa huku hajui mimi ni nani

Hawa ni wachangiaji ambao wapo real sana, nawapa maua yao na nawapenda na kupenda contents zao sana japokuwa hakuna ninayefahamu kati yao.
Kitambo sana Brother,
Za siku nyingi?

Umepotea sana Mkuu.
 
kila uzi unaohusu wanawake wa jf id ni zile zile tu kama za hapa lakini ukweli zipo id za kike hapa jf sio popular lakini wapo vizuri mno, hii cycle ya tags ni ile ile kila leo, and of day ni too generally.
zitaje na ww
 
Karibu sana mkuu.

Kinachonivutia kwako ni kuwa hupendi Wanawake waonewe, hasa kimtazamo na maoni ya Watu kuwahusu ninyi. Hata hivyo hupendi kwa kutumia Facts na sio kutaka upendeleo.

Watu kama nyie mkinizingua huwaga nameza tuu fumba la mate kooni alafu najifanya kama sijaona.
Lakini siku ninywa zangu kisungura mtanikoma
Kisungura 😂😂😂
 
Kwa kifupi, Taikon ametaja madem wanaoisuuza roho yake. Wanaofanya moyo wake udunde kama ngoma ya kijiji. Ndio maana yuko tayari kutuliza munkari a.k.a mawenge, hata kama wakimrarua kwenye comments!

Samahani, hapa ndio kwenye vita?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kumeanza kuchangamka[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom