Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

13.ni kipenzi Changu
Unique Flower
 
Hapana kwangu.
Ingawaje hatujawahi kugombana na kila mtu na time yake tukiwa humu JF lakini dish lake sina uhakika nalo.
Samahani lakini ( in Kuhani Musa Mwacha voice wa ngome ya Yesu )
🀣🀣🀣🀣
Eti Dish lake sina uhakika naloπŸ˜€πŸ˜€
Kwahyo unamaanisha muda wowote linabdili uelekeo πŸ˜…πŸ˜…
 
Faiza Foxy tatizo lake ni mbinafsi linapokuja suala la Dini yake. Yeye kila kitu uislamu.
Hapo ndipo anapopoteza.

Wakati dini ni kama club za mpira yaani simba na Yanga
Kuona dini ni kama club za mpira,hiyo ni tafsiri yako wewe na niimani yako wewe,itakua ni upumbavu wa hali ya juu sana kutaka kila mtu aone kama unavyoona wewe,kama dini yako ni sana na Simba na Yanga basi usilazimishe na uislamu kua hivyo,Uislamu ni dini sio kama klabu za mpira,tanguliza heshima mbele kwenye imani za watu.
 

Imani ni ya mtu binafsi.
Dini ndio ya watu, jamii au taifa.

Hakuna sehemu nimeutaja uislamu kama club. Ila nimetaja dini ni kama club za mipira. Hivyo kama wewe ukita uislamu kama sehemu ya hizo club au Ukristo ni sehemu za hizo club hapo ni wewe sasa.

Ninaheshimu dini za Watu lakini haiachi ukweli kuwa hizo ni club tuu za kuboresha imani za Watu.
Ni kama mpira na timu za mipira kazi yake ni kuboresha burudani kwa watu. So ishu kubwa hapo ni burudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…