Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam huwezi kuwakuta wakitajwa tajwa hapa lakini wameshinda haswa Mama Amon cariha luckyline miss pablo nawe wengi wao wengi tu
Sijakuona kwenye orodha? 🙈🙈Na soma comment [emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza ujinga basi,maneno mengi yasiyokua na maana ni sawa na kujipitisha hapa huku ukitingisha kalio,Imani ni ya mtu binafsi.
Dini ndio ya watu, jamii au taifa.
Hakuna sehemu nimeutaja uislamu kama club. Ila nimetaja dini ni kama club za mipira. Hivyo kama wewe ukita uislamu kama sehemu ya hizo club au Ukristo ni sehemu za hizo club hapo ni wewe sasa.
Ninaheshimu dini za Watu lakini haiachi ukweli kuwa hizo ni club tuu za kuboresha imani za Watu.
Ni kama mpira na timu za mipira kazi yake ni kuboresha burudani kwa watu. So ishu kubwa hapo ni burudani.
Donatila namuelewa huyu Mama sana Ila sasa Manabii na Mitume wa uongo wamemshika masikio hasikiii wala haoni Mwamposa Nabii Kuhani Musa
mama D namwelewa sana Ila sasa na yeye ndio wale wale km Donatila ni Manabii na Mitume wa uongo wamemshika mpaka pua na macho hasikiii haoni hanusi Mwamposa Nabii Mtume Kuhani Musa
Lamomy huyu nae namwelewa Ila alipoanza kujifanya eti na yeye ameokoka nikajua tu hapa tayari ameshapatwa na tatizo la mfumo wa saikolojia kwenye ubongo wake soon anaenda kutapeliwa pakubwa
FaizaFoxy Bibi wa JF kutoka Canada namuelewa sana Ila sasa huyu balaa lake ni mfia Dini wa Muhhamediah yaan humwambii kitu kuhusu Allahu Akbaru
Hao ni wachache kati ya wengi
DonatilaKwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
Punguza ujinga basi,maneno mengi yasiyokua na maana ni sawa na kujipitisha hapa huku ukitingisha kalio,
Unajua kabisa dini ya Faiza ni uislamu na lengo lako lilikua ni kuuponda uislamu,nyie mnaokashifu imani za watu hua siwalei kabisa,hata kama utakua ni nani,
Weka heshima mbele kwenye imani za watu.
binti kiziwi huyu dada ana busara sana anaelekea ni mrembo pia
Rubbish.Mimi uislamu kama nikúuponda nilishaupondaga kulingana na maeneo ambayo hayapo sahihi.
Halikadhalika na Ukristo.
Naweza kuponda chochote ambacho hakipo sawa hata kama ni mimi mwenyewe.
Kwani huo uislamu ni nini hata usipondwe kama kuna jambo halipo sawa. Au huo Ukristo ni kitu gani hata usipondwe. Mimi sina jicho moja, nina macho mawili lazima niangalie uzuri na ubaya wa kitu au jambo na niseme.
Mtu yeyote ambaye anamtazamo kama wa Faiza au hata wako kuwa kwa vile sijui ni dini fulani sijui Ukristo au Uislamu ndio usipondwe mtu huyo ni mbinafsi. Na watu Wabinafsi kikawaida sio watenda Haki, na sio kweli, na kama wanakosa hayo yote basi hawana UPENDO.
Baba yangu mwenyewe muislam alafu wewe unataka niwe chongo kisa fulani muislamu.
Huyo sio mimi. Huyo ni wewe na watu wa aina yako
😂😂😂😂 yaani nimecheka jamani!!Donatila namuelewa huyu Mama sana Ila sasa Manabii na Mitume wa uongo wamemshika masikio hasikiii wala haoni Mwamposa Nabii Kuhani Musa
mama D namwelewa sana Ila sasa na yeye ndio wale wale km Donatila ni Manabii na Mitume wa uongo wamemshika mpaka pua na macho hasikiii haoni hanusi Mwamposa Nabii Mtume Kuhani Musa
Lamomy huyu nae namwelewa Ila alipoanza kujifanya eti na yeye ameokoka nikajua tu hapa tayari ameshapatwa na tatizo la mfumo wa saikolojia kwenye ubongo wake soon anaenda kutapeliwa pakubwa
FaizaFoxy Bibi wa JF kutoka Canada namuelewa sana Ila sasa huyu balaa lake ni mfia Dini wa Muhhamediah yaan humwambii kitu kuhusu Allahu Akbaru
Hao ni wachache kati ya wengi
Hahahaha labda unitaje wewe tuSijakuona kwenye orodha? 🙈🙈
Rubbish.
Nipo mbonaUmeadimika mpaka unasahaulika Mkuu
Mwaka naumaliza kwa kishindo jamani 🤣🤣
Thank you Robert Heriel Mtibeli
Sometimes huwa hatukubaliani kwenye mambo mengi, nashukuru kwa kutambua na kuheshimu hilo Mkuu.
Nipo mbona