Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Donatila namuelewa huyu Mama sana Ila sasa Manabii na Mitume wa uongo wamemshika masikio hasikiii wala haoni Mwamposa Nabii Kuhani Musa

mama D namwelewa sana Ila sasa na yeye ndio wale wale km Donatila ni Manabii na Mitume wa uongo wamemshika mpaka pua na macho hasikiii haoni hanusi Mwamposa Nabii Mtume Kuhani Musa

Lamomy huyu nae namwelewa Ila alipoanza kujifanya eti na yeye ameokoka nikajua tu hapa tayari ameshapatwa na tatizo la mfumo wa saikolojia kwenye ubongo wake soon anaenda kutapeliwa pakubwa

FaizaFoxy Bibi wa JF kutoka Canada namuelewa sana Ila sasa huyu balaa lake ni mfia Dini wa Muhhamediah yaan humwambii kitu kuhusu Allahu Akbaru

Hao ni wachache kati ya wengi
 
Punguza ujinga basi,maneno mengi yasiyokua na maana ni sawa na kujipitisha hapa huku ukitingisha kalio,

Unajua kabisa dini ya Faiza ni uislamu na lengo lako lilikua ni kuuponda uislamu,nyie mnaokashifu imani za watu hua siwalei kabisa,hata kama utakua ni nani,

Weka heshima mbele kwenye imani za watu.
 

FaizaFoxy Donatila mama D hao ni wafia dini.
Kuwataja labda kwenye ishu zingine kama wafia dini.
Ukishakuwa mashabiki kupitiliza upo hatarini kutokuwa mkweli
 
Donatila

Hannah

Missy Gf
 

Mimi uislamu kama nikΓΊuponda nilishaupondaga kulingana na maeneo ambayo hayapo sahihi.
Halikadhalika na Ukristo.

Naweza kuponda chochote ambacho hakipo sawa hata kama ni mimi mwenyewe.

Kwani huo uislamu ni nini hata usipondwe kama kuna jambo halipo sawa. Au huo Ukristo ni kitu gani hata usipondwe. Mimi sina jicho moja, nina macho mawili lazima niangalie uzuri na ubaya wa kitu au jambo na niseme.

Mtu yeyote ambaye anamtazamo kama wa Faiza au hata wako kuwa kwa vile sijui ni dini fulani sijui Ukristo au Uislamu ndio usipondwe mtu huyo ni mbinafsi. Na watu Wabinafsi kikawaida sio watenda Haki, na sio kweli, na kama wanakosa hayo yote basi hawana UPENDO.

Baba yangu mwenyewe muislam alafu wewe unataka niwe chongo kisa fulani muislamu.
Huyo sio mimi. Huyo ni wewe na watu wa aina yako
 
Rubbish.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani nimecheka jamani!!
Sasa bro kuokoka kuna shida gani?! Kwahiyo hutaki tuokoke?!
Halafu hii id yako sijawahi kukutana nayo sehemu au umebadili jina?
All in all tuko pamoja endelea kunielewa bhana πŸ˜‰
 

Kitu kikiwa kizuri kwako ukashindwa kuona ubaya wake elewa kuwa wapo Watu wanaoona ubaya wake.
Na hicho ndicho ninachopishana na Faiza pamoja na watu wa aina yako.

Uislamu ni mzuri lakini haimaanishi hauna ubaya wake. Watu wataupongeza kwa uzuri lakini wapo pia watauponda kwa ubaya wake.

Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…