Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wanawake bhana 😂😂😂Ukweli ni kwamba huwezi kujua jinsia ya Mtu kupitia Id yake hapa JF je yeye ametumia njia gani kujihakikishia hao aliyowataja pasi na shaka ni wanawake?
Hebu njoo na list yako ,naeza pata mwanga na mm nikaja na ya kwanguNgoja na sisi tutakuja na list zetu hapa. Japo list yangu ipo hivi........!
Hakika hilo nimeliona kwangu,kuna muda nakujibu kwa hasira then majibu yako ni ya busara unayonirudishia...u deserve to be a leaderKwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
Hahahaha,no comments , umetisha
Humu mnajuana,wengine tukae kwa kutuliaHakika hilo nimeliona kwangu,kuna muda nakujibu kwa hasira then majibu yako ni ya busara unayonirudishia...u deserve to be a leader
wewe ni dume au jike?Kuna mengine ni MADUME hapo wanajifanya MAJIKE.
Siku ujichanganye utakula DUDU LA HELA YOTE.
🤣🤣🤣Asante sana mkuu sema 🤕Hii mkuu ebu tumsubiri mzee wa kupiga mipira iliyokufa Mzee wa kupambania kama atashindwa amwachie mzabzab mzee wa offside
Ni wanawake bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine ni kupiga story tu hawana hata hiyo michango. kila thread ni story tuHata kama wanachangia kila siku, kwanza michango yao ipo kawaida mno.
Hakika hilo nimeliona kwangu,kuna muda nakujibu kwa hasira then majibu yako ni ya busara unayonirudishia...u deserve to be a leader
Ila wizo emu punguza bange 😂😂😂Kuna mengine ni MADUME hapo wanajifanya MAJIKE.
Siku ujichanganye utakula DUDU LA HELA YOTE.
😂😂😂😂 ww bibi yangu mwenzio afu unamuita dume?! Ebu mtake radhiMtu kama Faiza foxy nimefatilia mlengo wake, uandishi, hoja zake na muda anaotumia hapa JF kuwa active ni dhahiri kuwa sio mwanamke . Hata wewe fatilia hili.
Karibu sanathank you so much Mtibeli wa Watibeli, this has been well appreciated..!!🙏
We jamaa kuna kuna Bibi zako watatu umewaorodhesha. Halafu unaita wadada?