Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Shoga
Niliona marudio ya zahanati

Mzee Milanzi anavyomwambia mayasa kuwa amempa tu hisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikakukumbuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi timbwili la mama Ombeni.

Nasubiri kule mwisho matokeo ya Mbwana[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewekaa marudio siku hizi sina muda wa kuangalia nitaangalia leo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom