PreGE2025 Hawa ndio Wakuu wa Mikoa wanaotarajiwa kugombea Ubunge mwaka huu na kwanini wanataka kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alikua Joseph, ndo ikabidi Jimbo ligawanywe.
Yule mama ni kibokoo kwa fitna, na ulozi pia.
 
Mtu na jimbo lake anawaonya
 
Mtoa post umetuchosha, kichwa cha habari na content zako za hisia havina uhusiano, wewe si ungekwenda direct ukatutajia ndio tuje na comment zetu kama wanafaa au hawafai? Umezingua kinoma
Mleta uzi ni tapeli wa habari.
 
Km ilivyo jimbo la Peramiho, kumtoa Jenista ni kipengelee.
Unaambiwa anaroga sana yule maza,anampulizia mpaka maza mkubwa!! We si unaona saiz kala shavu wizara ya afya wakati elimu yake ni ya hapa na pale...mchawi kicng unaambiwa
 
Hatumtaki Mabula Nyamagana, amekaa muda mrefu na utendaji sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…