siasa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania CCM tunahitaji kufanya reforms kwenye chama. Siasa zimebadilika sio za miaka hiyo

    Bila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda. Siasa zimebadilika. CCM...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana. Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naombeni jina la askari huyu na jina la mwanachama huyu wa CCM.

    Habari ndugu zangu watanzania. Nina shida sana na majina ya watu hawa
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusimangwa sana na vijembe, muasisi wa 'CCM Mtandao' kaamua kuingia chumbani!

    Karibia wiki mbili sasa, muzee wa Mutandawo kaamua kula kobis. Kajiambia isiwe taabu, mi naenda zangu Msoga kupumzika maana huko chamani unafiki umezidi! Kila baya narushiwa mimi, Mara oooh mama Salima nimemtuma kuwania ubunge Mara ooh Lizi namtafutia urais 2030 Mara ooh nimejiwekea...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwenye Kila chama cha siasa ccm Wana watu wao na Kila kamati kuu ya chama chochote cha siasa ccm Wana watu wao hao mashahidi wa Siri ni makada wenu !

    Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ndio Wakuu wa Mikoa wanaotarajiwa kugombea Ubunge mwaka huu na kwanini wanataka kugombea

    Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa kwa wakati? Sasa hali hiyo inajidhihirisha wazi, kwani baadhi ya viongozi hao, hasa wakuu wa mikoa...
Back
Top Bottom