CCM tunahitaji kufanya reforms kwenye chama. Siasa zimebadilika sio za miaka hiyo

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Bila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.

Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.

Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.

Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.

Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe. Hata chadema walifanya reforms ndo kimefanya vizuri Chadema ya Mbowe ilikua imekaribia kukata roho Ila baada ya kufanya reform tumeona chama kimekua na nguvu za kutisha Siasa za kujificha kwenye vyombo vya dola haiwezi kutusandia
 
Bila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.

Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.

Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.

Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.

Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe.
Too late, CCM is unsalvageable!
 
Hata kinyonga pamoja na umahiri wake wa kujibadikisha rangi kutokana na mazingira, mwisho wake ni kifo.

CCM imekufa natural death
 
Bila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.

Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.

Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.

Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.

Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe. Hata chadema walifanya reforms ndo kimefanya vizuri
CCM inatengeneza ajira nyingi za vijana hakuna haja ya kufanya reforms
 
Attachments

  • VID-20260731-WA0017.mp4
    6.3 MB

Ni kweli kabisa. Ngoja mtoke kwanza madarakani ili mjivue 'gamba'
 
Hata kule Kenya,kuna chama kilichakaa hadi kikaamua kujiita "NEW KANU" lakini waaaapiii!Wananchi walikitoa mkuku chenyewe na makopo yake kama chizi anavyofukuzwa mjini.
 
Back
Top Bottom