Ccm ipi?Bila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.
Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.
Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.
Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.
Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe. Hata chadema walifanya reforms ndo kimefanya vizuri Chadema ya Mbowe ilikua imekaribia kukata roho Ila baada ya kufanya reform tumeona chama kimekua na nguvu za kutisha Siasa za kujificha kwenye vyombo vya dola haiwezi kutusandia
Kwa taarifa yako, reforms zozote za kweli ndio kifo cha ccm. Kwa sasa mbeleko ya vyombo vya dola tu ndio nguvu yao pekee.Chadema imefanya reform akaja Lissu tumeona ilivyoogezeka nguvu reforms muhimu sana
Dogo umechelewa kutoa ushauri. CCM ilianza kufanya reforms yangu enzi za Mzee Kikwete kwa kauli mbinu ya "KUJIVUA GAMBA"! HBila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.
Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.
Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.
Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.
Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe. Hata chadema walifanya reforms ndo kimefanya vizuri Chadema ya Mbowe ilikua imekaribia kukata roho Ila baada ya kufanya reform tumeona chama kimekua na nguvu za kutisha Siasa za kujificha kwenye vyombo vya dola haiwezi kutusandia
Sio kweli tunaweza kufanya Reforms ya chama na kushinda uchaguzi ni vile presha ya wenye maslahi ndo wanaogopa CCM maslahi ndo wanaogopa reformKwa taarifa yako, reforms zozote za kweli ndio kifo cha ccm. Kwa sasa mbeleko ya vyombo vya dola tu ndio nguvu yao pekee.
Tunasema reform za kutoa chama kwa wafanya biashara na kurudi kwenye misingi ya uanzishwaji wa CCM chadema juzi tu hapa ilikua hoi Ila baada ya kufanya reforms tumeona nguvu yake kama kungenua na reforms basi Polepole hasingepotezwa wewe ni mtoto wa shule soma kwanzaDogo umechelewa kutoa ushauri. CCM ilianza kufanya reforms yangu enzi za Mzee Kikwete kwa kauli mbinu ya "KUJIVUA GAMBA"! H
Uwezo wa kufikia 2/3 itakayowafanya muwe na maamuzi mtakavyo bungeni hamtakuwa nao. Na ikiwa hivyo uchaguzi unaofuata mnapotea mazima. Kwa trend ilivyokuwa inaenda, kama si Magufuli kuanza kupora chaguzi za 2019 na kuendelea, leo hii ccm ingekuwa chama cha upinzani, tena kilichoshindwa kihalali.Sio kweli tunaweza kufanya Reforms ya chama na kushinda uchaguzi ni vile presha ya wenye maslahi ndo wanaogopa CCM maslahi ndo wanaogopa reform
Polepole alipambania sana hizo reforms......sema ndio hivyo..(He was silenced forever)...Bila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.
Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.
Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.
Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.
Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe. Hata chadema walifanya reforms ndo kimefanya vizuri Chadema ya Mbowe ilikua imekaribia kukata roho Ila baada ya kufanya reform tumeona chama kimekua na nguvu za kutisha Siasa za kujificha kwenye vyombo vya dola haiwezi kutusandia
HahahaYaani unamaanisha zifanyike reforms za kukiondoa chama kutoka kumilikiwa na baadhi ya watu wa koo fulani fulani!!
Magufuli alipora uchaguzi wa nani wewe kwa akili yako kwamba Lowassa alimshinda Mgufuri au Lissu alimshinda Magufuli ?Kiufupi pamoja na mapungufu yake Magufuli aliuza kwa utendaji kazi wake Mkuu acheni propaganda Kama Lissu anavyojiuza kwa Kupenda HAKI na Ufisadi basi Magufuli alijuza kwa utendaji kazi wake na pia Sio fisadi ndo maana zilikuja propaganda nyingi mara kwa Magufuli kulikutwa na Dora laki Tisa kitu ambacho ni Uongo kwa namna alivyochukiwa Magufuli ingekua balaah mara pesa China miradi yake yote ilipigwa vita but ilikua miradi ya kimkakati Achana na Magufuli ManUwezo wa kufikia 2/3 itakayowafanya muwe na maamuzi mtakavyo bungeni hamtakuwa nao. Na ikiwa hivyo uchaguzi unaofuata mnapotea mazima. Kwa trend ilivyokuwa inaenda, kama si Magufuli kuanza kupora chaguzi za 2019 na kuendelea, leo hii ccm ingekuwa chama cha upinzani, tena kilichoshindwa kihalali.
Mwana ccm askofu Gwajima akiwa mbunge alijaribu kufanya hivyo, akafungiwa Kanisa chap na akawa anawindwa kwa bidii. Nadhani wangemdaka kipindi kile angepotezwa kama Polepole tu.Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao
Nyie hata reform hamhitaji na haitakuwa na msaada kwenu,jambo la muhimu ni kutundika daluga na kurest in peace a.k.a R.I.P ccmBila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.
Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.
Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.
Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.
Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe. Hata chadema walifanya reforms ndo kimefanya vizuri Chadema ya Mbowe ilikua imekaribia kukata roho Ila baada ya kufanya reform tumeona chama kimekua na nguvu za kutisha Siasa za kujificha kwenye vyombo vya dola haiwezi kutusandia
Soma uwelewe nilichoandika. CCM ilianza kufanya reforms kipindi cha Mzee Kikwete. Sasa kama huelewi, sio tatizo langu.Tunasema reform za kutoa chama kwa wafanya biashara na kurudi kwenye misingi ya uanzishwaji wa CCM chadema juzi tu hapa ilikua hoi Ila baada ya kufanya reforms tumeona nguvu yake kama kungenua na reforms basi Polepole hasingepotezwa wewe ni mtoto wa shule soma kwanza
Akina Tyson wapo toka enzi za JKNBila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo na kifikra, kwa sababu wananchi wanawahi kutambua kuwa hizi ni propaganda.
Siasa zimebadilika. CCM lazima itengeneze kizazi chenye ujasiri wa kuhoji. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere, hata mwenyekiti wa chama anapokosea lazima kuwe na vijana wa kumhoji. Dunia inaelekea huko.
Dunia haiwezi kusimama kwa sababu wewe umekataa kutembea nayo. Wananchi wa Tanzania si wa kipindi cha uhuru. Wengi wanajua kinachoendelea, isipokuwa wamebanwa na wanaogopa kutekwa. Ndio maana hata propaganda za udini kipindi kile waliweza kuzikwepa. Sasa limekuja suala la Heche, wananchi wanajua hizi ni propaganda na wanazikwepa.
Ni muda wa CCM kufanya reform na kuja na CCM mpya itakayojikita kutatua kero za wananchi badala ya kuwekeza kwenye propaganda, wizi na ufisadi. Tunahitaji wana CCM wanaoweza kutoka kupinga utekaji, mauaji na ufisadi wakiwa na macho makavu bila woga wa kufikiria kesho yao.
Sio vijana tulionao sasa ambao wamegeuka kuwa misukule ya watawala. Wanasifia kila kitu, hata mwenyekiti wa chama akifanya kosa wao ni kusifia tu. Hatuwezi kuwa na nchi iliyojaa makasuku halafu tukategemea maendeleo. CCM ni muda wa kubadilisha siasa zetu. Nyekundu isemwe ni nyekundu, nyeupe isemwe ni nyeupe. Hata chadema walifanya reforms ndo kimefanya vizuri Chadema ya Mbowe ilikua imekaribia kukata roho Ila baada ya kufanya reform tumeona chama kimekua na nguvu za kutisha Siasa za kujificha kwenye vyombo vya dola haiwezi kutusandia
Hakika. Hawawezi kufanya uchaguzi wao kwa uwazi kwa waandishi wa habari kwa hata 30%, lazima figisu zipite. Wana uchaguzi mwakani, utaona mafekeche yalivyo. Habari kama hizi akina Tlaatlaa wanapita kama wanaaga maitiYanaitwa maamuzi magumu ambayo chama cha majambazi kamwe hakiwezi kuyafanya