Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Karibia wiki mbili sasa, muzee wa Mutandawo kaamua kula kobis.
Kajiambia isiwe taabu, mi naenda zangu Msoga kupumzika maana huko chamani unafiki umezidi!
Kila baya narushiwa mimi,
Mara oooh mama Salima nimemtuma kuwania ubunge
Mara ooh Lizi namtafutia urais 2030
Mara ooh nimejiwekea mabilioni ya kula mpaka baada ya uhai huu kuisha
Mbaya zaidi ooh, ati nimemtenda Mapadlocks
Nasema sitaki miye, sitaki naenda pumzikaa!