The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Yeye mwenyewe mnafiki,
Mbona hajawahi kukemea janga la utekaji na mauaji ya wananchi??
Mtandaao ndiyo waanzili haya yote. Kumbuka akina Ulimboka.
Yeye mwenyewe mnafiki,
Mbona hajawahi kukemea janga la utekaji na mauaji ya wananchi??
Mengine anayataka Mwenyewe, kama hili la mkewe kujishusha na kwenda kugombea Ubunge..hakujiongoza vyema kwenye hiliHuyo mzee kama jalala kila baya anatupiwa
Kwamba jamaa ni kijakazi wa mpersia?hakuna kitu kama hicho labda kama mpersia amemdump ...
Siasa na pesa ni volatile mixture.Kwamba jamaa ni kijakazi wa mpersia?
Hili lishangazi linafiki balaa.... 😡