Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
teaching ni nature sio kila mtu aliyesoma education anaweza kufundishaa...Walimu wapigwe msasa kwanza maana wengine watashindwa hata kujitambulisha.
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
[/QUOTE] Kazi ipo mbona wapo wengi kama hao,in short walimu wengi hawana sifa ya kuwa walimu............nimejionea mengi sana[QUOTE said:bintimzalendo;8919049]Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
Ww huenda ukawa ni mmoja kati ya hamsini walosoma ualimu bila mkopo, ni asilimia kubwa walosoma kwa mikopo. Nakumbuka chuo nilichosoma mimi ilikuwa mukopo inazingua na chuo walikuwa wanatuambia tukitaka mikopo tuhame kozi tunazosoma tuhamie education, na wengi walihamia ili wapate mikopo
teh teh.....afu wengine ndo wanajiandaa kwenda kutoka na wadogo zetu wa kike hapo.:scared: