vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,701
- 1,406
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
alisoma chuo gani huyo