Hawa ndio walimu wetu wapya

Hawa ndio walimu wetu wapya

Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.

alisoma chuo gani huyo
 
Daktari aliepasua kichwa badala ya mguu,mhasibu anaeandikia mkono wa kushoto,mhandisi na madaraja mabovu,mwanasheria anaesaini mikataba feki....nk,kila sekta ni madudu nimeletewa wahasibu wawili mwaka jana hawajui waanzie wapi sioni sekta salama hasa kwa sasa.
 
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.

tuondolee mawazo yako mgando hapa we tahra nin! Ujuz hauzeeki na tumeisomea hyo kaz kwa muda wa miaka mitatu tucjue kufundisha kvp?
 
teh teh.....afu wengine ndo wanajiandaa kwenda kutoka na wadogo zetu wa kike hapo.:scared:
 
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.

Hahahahahah duh
 
sasa serikali yenyewe imewakalisha muda mrefu,zaidi ya miezi sita bila kitu cha kufanya inategemea nini?
 
[QUOTE said:
bintimzalendo;8919049]Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe ambae serikali imekusomesha miaka mitatu leo hii hujui ata kama unajua kufundisha si ndio mwanzo wa kutuletea div5 za kumwaga kwa watoto wetu.
Mimi mimi nafikiri mchujo ufanyike tena ambao hawawezi kufundisha watoto wetu watafute shughuli nyingine za kufanya.
[/QUOTE] Kazi ipo mbona wapo wengi kama hao,in short walimu wengi hawana sifa ya kuwa walimu............nimejionea mengi sana
 
haya mawazo duuh! but the only thing is to think logically rather to think as a usual process
 
Ww huenda ukawa ni mmoja kati ya hamsini walosoma ualimu bila mkopo, ni asilimia kubwa walosoma kwa mikopo. Nakumbuka chuo nilichosoma mimi ilikuwa mukopo inazingua na chuo walikuwa wanatuambia tukitaka mikopo tuhame kozi tunazosoma tuhamie education, na wengi walihamia ili wapate mikopo

true watu wana soma ualimu ili wapate mkopo tu,na kweli walimu wengivhakuna kitu kabisa
 
Inategemea mlivyozoeana na si kila stori za mtu zaweza kuwa siriazi lakini pia kuna watu ambao wameumbwa katika maongezi yao waweza kwa haiba za mizaha sana
Yawezekanaje miaka yote chuoni na mazoezi ya vitendo kibao eti leo aseme hawezi kufundisha?
 
teh teh.....afu wengine ndo wanajiandaa kwenda kutoka na wadogo zetu wa kike hapo.:scared:

bora we unajua kwani mwalimu ana posho na kama hapewi angoje nini? Vitoto vyenu ndivyo posho zao kama hamtaki pigeni kelele wapewe posho za kuwaonga mama zao kwan si ni watu wa gharama mbona mibunge kila siku inatoka na mimama za watu hadi wame zao wanajua lakini wamefanya kama njia ya kujipatia ugali? Acha uzembe!
 
Ww huenda ukawa ni mmoja kati ya hamsini walosoma ualimu bila mkopo, ni asilimia kubwa walosoma kwa mikopo. Nakumbuka chuo nilichosoma mimi ilikuwa mukopo inazingua na chuo walikuwa wanatuambia tukitaka mikopo tuhame kozi tunazosoma tuhamie education, na wengi walihamia ili wapate mikopo

Kwa uandishi wako huu, ninashindwa kuelewa sababu zinazokufanya uwashambulie Waalimu , ninasita kuamini kama kweli ulisoma hadi ngazi ya "Chuo". Pengine ni kwa sababu ulisoma "chuo" na sio "Chuo" ambako walikufundisha kuandika "chuo" badala ya "Chuo", "mukopo" badala ya "Mkopo" na wakasahau kukufundisha matumizi sahihi ya "Kituo Kikubwa" na "Kituo Kidogo" kwenye sentensi unazoandika.

Waalimu karibuni mtuelimishe bure, Elimu haina mwisho!
 
kwahiyo kuambiwa hivyo ndio uje kufungua uzi ukijumlisha walimu wote?? una umri gani wewe.
 
:thinking: mie ticha ila kw hilo nakataaa 100%.nothn lyk dat meeeeeeeeeen
 
Back
Top Bottom