Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

Bon-CN

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
1,514
Reaction score
3,000
Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili!

Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio kazi iliyotukuka inayofanywa na management ya kampuni hizo. Kwa kutambua hilo, si vibaya tukiwatambua walio nyuma ya mafanikio hayo--
Walio nyuma ya Mafanikio ya GSM ni hawa hapa chini--
GSM.png

Labda tunaweza kujiuliza kwanini hatumuoni Ghalib Said Mohd kwenye hiyo orodha hapo juu. Anyway, kwa mujibu wa tovuti ya GSM Group, Ghalib alichukua uamuzi wa kuajiri watu wa kuendesha shughuli za kila siku za kampuni huku yeye akijikita zaidi kwenye mikakati na kujitanua kibiashara👇👇👇
In 2014, Ghalib took a step further by transforming his group into a corporate structure by employing a team of dynamic and experienced Tanzanian professionals to assist him in running the business on a day to day basis at HQ whilst he focuses more on strategy and expansion.

Tukija upande wa METL, hapa chini ndio walio nyuma ya mafanikio ya kampuni roho ya Simba SC.

METL.png

Kwavile vyeo vya management ya METL havisomeki vizuri, kuanzia kushoto ni Chairman, Director of Sales, Director of Marketing, na Director of Human Resources.

Nasikia Chief Financial Officer, aka CFO wa METL anaitwa Gabriel Angambwinde kutoka Mbarali 🙄🙄
 
Kwa nini unajisahaulisha kwamba Yanga wanaitwa(jina la kudumu) utopolo?Ungeweza kuwa na ujumbe mzuri lakini umeegemea upande mmoja na kuandika kejeli.
 
Back
Top Bottom