Dini ni kitu cha hovyo kuwahi kutokea dunianiAll the leaders of the Zionist unit that participated in the assassination of the martyr mujahid commander Yahya al-Sinwar months ago in Rafah were killed, as the unit was killed after falling into a tight ambush in Beit Hanoun in the northern Gaza Strip π΅πΈπ»
View attachment 3195514
Huenda na ww ni gaidi wa nafsi yakoHio haituhusu sisi tunachojua ni kwamba Israel wamemtoa roho gaidi
Yeyote aliye kwenye uwanja wa mapambano anajua wakati wowote yeye anaweza kufa tena kiongozi ndiyo yupo kwenye hatari zaidi kwa sababu adui anamtamani zaidi.Unafananisha kuuwawa kwa kiongozi na kuuwawa kwa wanajeshi walio vitani ambao wanajua mda wowote wanakufa
Hiv kama hujawah kukutana na Mungu au Muhammad ninini kinakufanya uyaamini hayo maandishi kama sio uzuzuKwann ni kitu kibaya? Na Cha hovyo? Nadhani ni tafsiri Yako TU Kwa kua umeshindwa digest program nzima ya dini hivyo umeconclude Kwenye negativity akati Kuna two sides.
HUU UNAANDIKA UPUMBAVU.Hao ni nguruwe wamechinjwa Jana baada ya kunasa Kwenye mtego hamas damu ya Kamanda imelipwa
Wewe umewahi kukutana na kinjekitile? Chief milambo lakini history iliyoandikwa mbona ndio hio unayoamini? Mimi Kwa kutumia akili yangu nimesoma Quran na biblia nikaunganisha na uelewa niliojaaliwa, pamoja na matukio nikaamini Mungu yupo.Hiv kama hujawah kukutana na Mungu au Muhammad ninini kinakufanya uyaamini hayo maandishi kama sio uzuzu
KATI YA PALESTINE NA ISRAELI NANI ANA ARDHI YAKE?Hapo hakuna dini relax bro, watu wenye dini zao wanapigania ardhi yao
Tafuta ugali wewe achana na watu wa mbali huko wa sio na msaada na wewe wanaokuona kama mavi tuAll the leaders of the Zionist unit that participated in the assassination of the martyr mujahid commander Yahya al-Sinwar months ago in Rafah were killed, as the unit was killed after falling into a tight ambush in Beit Hanoun in the northern Gaza Strip π΅πΈπ»
View attachment 3195514