Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Mshana kumbe na wewe ni mulhid..!? Sikulijua hilo niliona sehemu fulani umesema kwamba umeokoka baada ya kutoka kwenye uchawiMimi ni mtaalam kwa kusomea tena kwa viwango vya juu sana.. Lengo la dini limefeli sana duniani na dini ni mojawapo ya vyanzo vikubwa vya mauaji duniani