Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

Hiyo haina maana unayotaka wewe kuwaaminisha watu, kuna shares 10,000, wametumia 2000 hizo 8,000 wanauwezo huko mbeleni wakauza au kumgawia mwekezaji mwingine, ila kea sasa hv mmiliki kwa 100% ni hao unaowaona hapo, hiyo ni official doc. Tafuta watu waliosoma Law au BCom watakuelewesha unless awe kilaza
Pumzika ndugu yangu, wenzako wanataka kusikia Sadala hana kitu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Sikuwahi kuwaza kuwa Jf inaweza kuwa na watu ambao hawa taarifa sahihi na bado wakaendelea kujifanya wanajua au kulazimisha taarifa iwe wanavyotaka wao bila kustick kwenye how things are..Anyway,hili pia ni tatizo sugu kwa diehard fans wa Diamond..sijui wamelogwa?!!
Vizuri ww unaye elewa ukaifafanua hiyo document ya BRELA na si mipasho..............
 
Ifike mahala hizi mambo waachiwe wenyewe jamani,mtatoana ngeu za vidole kwa ku type na hakuna atakayekubali kushindwa hapa[emoji3525]

Kila mja aamini anachoamini kuhusu umiliki hizo vitu..
 
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake

Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana anachomiliki wasafi zaidi ya jina

Hapo ndo tunakuja ona kuwa kumbe mama Kusaga anamiliki kajisehemu kadogo sana ka wasafi ambako ni sub company in the main company

Diamond platnumz (80%) na mama yake (20%) ndo wamiliki hasa wa hii kampuni ambayo inarun sub companies kibao na wengine kama mama kusaga and the likes ni wawekezaji kwenye hizo sub companies

View attachment 1873021View attachment 1873025

kamwe huwezi kuwaridhisha haters

Lakini ukweli ukijulikana wanaaibika tu... We hukumuona instagram alivokuwa anatia huruma kwenye ule uzi wake wa Rolls Royce fake?

Wasafi Fm na Wasafi TV ni sub companies ?

Yaani hata tofauti Ya WASAFI LTD na WASAFI MEDIA LTD hujui?

Leta umiliki wa WASAFI MEDIA LTD ndo ambayo TCRA walionesha kuwa kuna mke wa Joe
 
m
Acha kupotosha mkuu

Ishu za hisa haziko hvyo ufikiriavyo

Hizo hisa zilizobaki huachwa wazi kwa muwekezaji atakayetaka kuwekeza hvyo atauziwa hizo hisa,, na maamuzi ya kuuza au kutokuuza na tumuuzie nani hubaki mikononi mwa hao wanahisa wa sasa ( Diamond na Mamá yake)

Pia, Wasafi Límited ni kampuni tofauti kabisa na Wasafi media limited inayomiliki Tv na Radio

Isipokuwa Diamond ana hisa ktk kampuni zote mbili, Wasafi límited na Wasafi media
mkuu huwa uhatumia juice ya ukwaju?
 
kwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)
Mkuu usisumbuke na vijana wako kwenye payroll ya Nasib,wako kazini kusifia tu
 
Sikuwahi kuwaza kuwa Jf inaweza kuwa na watu ambao hawa taarifa sahihi na bado wakaendelea kujifanya wanajua au kulazimisha taarifa iwe wanavyotaka wao bila kustick kwenye how things are..Anyway,hili pia ni tatizo sugu kwa diehard fans wa

Yaani hata tofauti Ya WASAFI LTD na WASAFI MEDIA LTD hujui?

Leta umiliki wa WASAFI MEDIA LTD ndo ambayo TCRA walionesha kuwa kuna mke wa Joe

Hauwezi kujua kila kitu. Tatizo letu tunapenda kuweka mapenzi yetu binafsi mbele na mihemko tukiamiani ni njia sahihi ya kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa. Unapoongolea Wasafi ni Taasisi Kubwa sasa ni lazima utofautishe unachotaka watu wajue ni kipi. Hapo umeongolea kampuni iliyokuwa limited by shares hapo sasa hakuna hadithi kama huna uelewa kaa kwa kutulia.

Nguvu ya elimu ina umuhimu pale inapotumika.
 
Yaani hata tofauti Ya WASAFI LTD na WASAFI MEDIA LTD hujui?

Leta umiliki wa WASAFI MEDIA LTD ndo ambayo TCRA walionesha kuwa kuna mke wa Joe

Hizo ni taasisi mbili tofauti.
Hiyo wasafi ltd itakuwa ni taasisi mpya na wala haimiliki wasafi media
 
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake

Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana anachomiliki wasafi zaidi ya jina

Hapo ndo tunakuja ona kuwa kumbe mama Kusaga anamiliki kajisehemu kadogo sana ka wasafi ambako ni sub company in the main company

Diamond platnumz (80%) na mama yake (20%) ndo wamiliki hasa wa hii kampuni ambayo inarun sub companies kibao na wengine kama mama kusaga and the likes ni wawekezaji kwenye hizo sub companies

View attachment 1873021View attachment 1873025
Dah,
Kuna taarifa haziko sawa kaka. Hii ni Wasafi Limited, Kusaga tuliwambiwa ana Hisa Wasafi Media. Pili Hii inaweza kua ni Parent Company, so ikawa na Subsidiary yake/zake ikiwemo Wasafi Media. Ssasa kama ulivyoileta hii hapa basi katafute na kama hii ya Wasafi media tumalize utata.
 
Ya Wasafi Media ilishatolewa kitambo, Joseph hakuwemo ila mkewe ana(if I remember correctly) 53%,Sadala-45% na brother wa Mrs Kusaga ana 2%.
Ilikuwa ni kwa mtiririko huo.
 
Kwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)
Diamond janja janja- amesajiri Wasafi Limited.Kuna Wasafi Media🤣🤣Aweke doc za Brela za Wasafi Media.Dogo sijui ataacha lini Uswahili wa Tandale
 
Ingawa sina taarifa kamili,lakini naamini a lot of informations are missing,Maswali ya msingi hapa ni kwamba-KUSAGA ana play part gani katika umiliki wa wasafi? 100M inatosha ku-finance kuanzisha TV & Redio to that level? Anyway,ni taarifa nzuri.
Kuna Wasafi Media na hiyo Wasafi Limited. hizi ni Kampuni 2 tofauti na zinamilikiwa na watu tofauti. Wasafi Media yupo mkewe Kusaga-Juhayna Zaghalulu Ajmy Ambae ana hisa nyingi na mama ake Nasibu ayupo!!Dogo anafikiria kuongopea watu ni dili
 
Mhhh sometimes kukaa kimya kuna kusaidia kuficha ujinga wako.
 
Nilichokiona hapo.

Kuna hisa 10,000

Diamond anamiliki hisa 1800

Mama yake hisa 200

Jumla wote wanamiliki hisa 2000 wakti hisa ni 10,000.

Maana yake wanamiliki hisa 20%

80% wanamiliki wengine

All in all Pongezi kwake kumiliki media kubwa kama ile kwa 20% ni mafanikio mengi sana.

Bila shaka hizo 100milion alizowekeza kwa sasa mwenye thamani zishafika 1 billion.

Sio mafanikio haba maana hii media inaweza ikawepo miaka mingi hata kama hatokuwepo yeye .
Uwezekano wa Wasafi Media kuwa imekua tenfold haupo. Haiwezekani milioni 100 iliyowekezwa kwa sasa iwe bilioni 1
 
weka unalolijua wewe! Mjinga wewe unaebwabwaja bila facts: Soma hapa kwanza alafu uje na unalolijua TCRA yataja wamiliki wa Wasafi TV, Kusaga hakutajwa – Dar24

weka unalolijua wewe! Mjinga wewe unaebwabwaja bila facts: Soma hapa kwanza alafu uje na unalolijua TCRA yataja wamiliki wa Wasafi TV, Kusaga hakutajwa – Dar24
"hizi ni Kampuni 2 tofauti na zinamilikiwa na watu tofauti"

Unajikanyaga mwenyewe na maneno yako.

Hiyo link uliyo iweka,kichwa cha habari kinasema mmiliki au Wamiliki wa Wasafi Media...........
 
Back
Top Bottom