joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Pumzika ndugu yangu, wenzako wanataka kusikia Sadala hana kitu.Hiyo haina maana unayotaka wewe kuwaaminisha watu, kuna shares 10,000, wametumia 2000 hizo 8,000 wanauwezo huko mbeleni wakauza au kumgawia mwekezaji mwingine, ila kea sasa hv mmiliki kwa 100% ni hao unaowaona hapo, hiyo ni official doc. Tafuta watu waliosoma Law au BCom watakuelewesha unless awe kilaza
Vizuri ww unaye elewa ukaifafanua hiyo document ya BRELA na si mipasho..............Sikuwahi kuwaza kuwa Jf inaweza kuwa na watu ambao hawa taarifa sahihi na bado wakaendelea kujifanya wanajua au kulazimisha taarifa iwe wanavyotaka wao bila kustick kwenye how things are..Anyway,hili pia ni tatizo sugu kwa diehard fans wa Diamond..sijui wamelogwa?!!
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake
Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana anachomiliki wasafi zaidi ya jina
Hapo ndo tunakuja ona kuwa kumbe mama Kusaga anamiliki kajisehemu kadogo sana ka wasafi ambako ni sub company in the main company
Diamond platnumz (80%) na mama yake (20%) ndo wamiliki hasa wa hii kampuni ambayo inarun sub companies kibao na wengine kama mama kusaga and the likes ni wawekezaji kwenye hizo sub companies
View attachment 1873021View attachment 1873025
kamwe huwezi kuwaridhisha haters
Lakini ukweli ukijulikana wanaaibika tu... We hukumuona instagram alivokuwa anatia huruma kwenye ule uzi wake wa Rolls Royce fake?
Wasafi Fm na Wasafi TV ni sub companies ?
mkuu huwa uhatumia juice ya ukwaju?Acha kupotosha mkuu
Ishu za hisa haziko hvyo ufikiriavyo
Hizo hisa zilizobaki huachwa wazi kwa muwekezaji atakayetaka kuwekeza hvyo atauziwa hizo hisa,, na maamuzi ya kuuza au kutokuuza na tumuuzie nani hubaki mikononi mwa hao wanahisa wa sasa ( Diamond na Mamá yake)
Pia, Wasafi Límited ni kampuni tofauti kabisa na Wasafi media limited inayomiliki Tv na Radio
Isipokuwa Diamond ana hisa ktk kampuni zote mbili, Wasafi límited na Wasafi media
Mkuu usisumbuke na vijana wako kwenye payroll ya Nasib,wako kazini kusifia tukwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)
Sikuwahi kuwaza kuwa Jf inaweza kuwa na watu ambao hawa taarifa sahihi na bado wakaendelea kujifanya wanajua au kulazimisha taarifa iwe wanavyotaka wao bila kustick kwenye how things are..Anyway,hili pia ni tatizo sugu kwa diehard fans wa
Yaani hata tofauti Ya WASAFI LTD na WASAFI MEDIA LTD hujui?
Leta umiliki wa WASAFI MEDIA LTD ndo ambayo TCRA walionesha kuwa kuna mke wa Joe
Hapo ndio ushajibu?We unahisi ni nini?
Alituletea pumba zakeLakini ukweli ukijulikana wanaaibika tu... We hukumuona instagram alivokuwa anatia huruma kwenye ule uzi wake wa Rolls Royce fake?
Yaani hata tofauti Ya WASAFI LTD na WASAFI MEDIA LTD hujui?
Leta umiliki wa WASAFI MEDIA LTD ndo ambayo TCRA walionesha kuwa kuna mke wa Joe
Dah,Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake
Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana anachomiliki wasafi zaidi ya jina
Hapo ndo tunakuja ona kuwa kumbe mama Kusaga anamiliki kajisehemu kadogo sana ka wasafi ambako ni sub company in the main company
Diamond platnumz (80%) na mama yake (20%) ndo wamiliki hasa wa hii kampuni ambayo inarun sub companies kibao na wengine kama mama kusaga and the likes ni wawekezaji kwenye hizo sub companies
View attachment 1873021View attachment 1873025
Ya Wasafi Media ilishatolewa kitambo, Joseph hakuwemo ila mkewe ana(if I remember correctly) 53%,Sadala-45% na brother wa Mrs Kusaga ana 2%.Dah,
Kuna taarifa haziko sawa kaka. Hii ni Wasafi Limited, Kusaga tuliwambiwa ana Hisa Wasafi Media. Pili Hii inaweza kua ni Parent Company, so ikawa na Subsidiary yake/zake ikiwemo Wasafi Media. Ssasa kama ulivyoileta hii hapa basi katafute na kama hii ya Wasafi media tumalize utata.
Diamond janja janja- amesajiri Wasafi Limited.Kuna Wasafi Media🤣🤣Aweke doc za Brela za Wasafi Media.Dogo sijui ataacha lini Uswahili wa TandaleKwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)
Hakunaga royys fake ndugu,hata used sio chini ya 1b so jamaa mpe heshima tuLakini ukweli ukijulikana wanaaibika tu... We hukumuona instagram alivokuwa anatia huruma kwenye ule uzi wake wa Rolls Royce fake?
Kuna Wasafi Media na hiyo Wasafi Limited. hizi ni Kampuni 2 tofauti na zinamilikiwa na watu tofauti. Wasafi Media yupo mkewe Kusaga-Juhayna Zaghalulu Ajmy Ambae ana hisa nyingi na mama ake Nasibu ayupo!!Dogo anafikiria kuongopea watu ni diliIngawa sina taarifa kamili,lakini naamini a lot of informations are missing,Maswali ya msingi hapa ni kwamba-KUSAGA ana play part gani katika umiliki wa wasafi? 100M inatosha ku-finance kuanzisha TV & Redio to that level? Anyway,ni taarifa nzuri.
Mhhh sometimes kukaa kimya kuna kusaidia kuficha ujinga wako.Kuna Wasafi Media na hiyo Wasafi Limited. hizi ni Kampuni 2 tofauti na zinamilikiwa na watu tofauti. Wasafi Media yupo mkewe Kusaga-Juhayna Zaghalulu Ajmy Ambae ana hisa nyingi na mama ake Nasibu ayupo!!Dogo anafikiria kuongopea watu ni dili
Hakunaga royys fake ndugu,hata used sio chini ya 1b so jamaa mpe heshima
weka unalolijua wewe! Mjinga wewe unaebwabwaja bila facts: Soma hapa kwanza alafu uje na unalolijua TCRA yataja wamiliki wa Wasafi TV, Kusaga hakutajwa – Dar24Mhhh sometimes kukaa kimya kuna kusaidia kuficha ujinga wako.
Uwezekano wa Wasafi Media kuwa imekua tenfold haupo. Haiwezekani milioni 100 iliyowekezwa kwa sasa iwe bilioni 1Nilichokiona hapo.
Kuna hisa 10,000
Diamond anamiliki hisa 1800
Mama yake hisa 200
Jumla wote wanamiliki hisa 2000 wakti hisa ni 10,000.
Maana yake wanamiliki hisa 20%
80% wanamiliki wengine
All in all Pongezi kwake kumiliki media kubwa kama ile kwa 20% ni mafanikio mengi sana.
Bila shaka hizo 100milion alizowekeza kwa sasa mwenye thamani zishafika 1 billion.
Sio mafanikio haba maana hii media inaweza ikawepo miaka mingi hata kama hatokuwepo yeye .
weka unalolijua wewe! Mjinga wewe unaebwabwaja bila facts: Soma hapa kwanza alafu uje na unalolijua TCRA yataja wamiliki wa Wasafi TV, Kusaga hakutajwa – Dar24
"hizi ni Kampuni 2 tofauti na zinamilikiwa na watu tofauti"weka unalolijua wewe! Mjinga wewe unaebwabwaja bila facts: Soma hapa kwanza alafu uje na unalolijua TCRA yataja wamiliki wa Wasafi TV, Kusaga hakutajwa – Dar24