Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

Hii document yawezekana imefanyiwa edit. Wasafi ni mali ya kusaga kwanini naandika hivi.

Miezi 6 nyuma wasafi wamenunua ardhi Mbezi beach ili wajenge headqiarter yao. million 700. Sadala na yeye kageuka dalali alitakiwa awape madalali 6 mil 20 yeye kawapa mil 3 nyingine kazisunda. Madalali wakimfuata anatuma mabaunsa. Sadala nae anatumwa tuu sema ni business partner.
 
Sasa Sadala aweke nini umuamini, halafu hujalazimishwa kuamini,kwani hata husipo amini hubadilishi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…