Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
1. Wote wana magari
2. Wote wana majumba yenye majina ya kizungu ie contemporary house, bungalow, crib, mansion na kadhalika.
3. Magari waliyo nayo ni ya gharama kubwa, hamna mwenye vits wala IST.
4. Elimu zao ni kubwa kama nyumba zao na magari yao.
5. Wote ni maboss
6. Wote ni wafanyabiashara wakubwa.
7. Wote ni watu wa safari sana, zile safari za nje ya bara letu.
8. Wote walizipeleka familia zao vacation
9. Wote wamesoma shule nzuri za kimataifa
10. Wote walikuwa wakali sana darasani.
11. Wote wana wenza wenye hela nyingi na wazuri sana.
12. Wote familia zao ni bora sana na zina upendo wa hali ya juu sana.
13. Wote wanatumia simu kali na za juu. Techno na infinix wanawapa walinzi wao
Wote wana access na mkuu wa nchi muda wowote watakao.
Usiwaamini mtu hapa jukwaani, watu wamechoka balaa.
Watu hawana ajira, wanapost kuwa wao ndio wana uwezo wa kuajiri.
Watu hawana mitaji lakini hapa wanajiita wafanyabiashara wakubwa.
Hawana pesa ya kulipa pango la nyumba, wanaishi kama digidigi kwa kuwakimbia wenye nyumba walizopanga, lakini wakiwa hapa jukwaani wanajiita Land lord.
Kuwa macho ndugu yako
www.jamiiforums.com

Inashangaza sana, mtu unaishi Dar es Salaam huna gari!
Igweeeeeee Habari za jumapili wanajamvi, Katika hali ya kawaida na nyakati hizi hasa kwa watu wanaoishi jijini Dar es Salaam gari imekuwa ni sehemu ya mahitaji muhimu kwa binadamu Mtu unaishi Dar es salaam mwanaume kabisa, kila siku unatoka kufanya harakati zako za maisha lakini huna gari ni...
Kuna pombe nyingine ukishika mkononi mbele ya watu zinaeleza ulivyo
Jana nipo sehemu ya kujidai ni mekamatia Hennessy mkononi huku nikitema ungeli wa malikia bila kujijua. Basi asubuhi Jumamosi natumiwa pongezi sana kuwa nilitisha sana na nilikuwa natema madini mazito sio ya nchi hii ni ya kurusha chombo kwenda mwezini. Basi nikajiona bichwa kubwa sana ila...
Kama hamna uwezo wa kuwa na mfanyakazi acheni msilazimishe
Kuna ndugu yangu wa kike alikataa shule, akaamua kuwa kicheche ,ni wa kike, sasa maisha yalipomchapa akaamua kutafuta kazi, yalipomchapa zaidi akatafuta kazi za ndani sehemu, siku moja katika pita zangu nikamkuta ana ndoo ya maji kichwani. Nikamuuliza mbona hivyo na ndoo, akanijibu kuwa boss...