Hawa ndio wana JamiiForums niliokutana nao

Hawa ndio wana JamiiForums niliokutana nao

Niliokutana nao mimi wote wana wake zao wanne na wote wamewajengea, hakuna hata mmoja anaefanya kazi kati yao wote anawahudumia yeye kwenye majumba yao🤣 wote hawapendi wanawake wafanya kazi. Jf raha sana sasa sijui hawa marioo tunaowaona huku mitaani ni zao la wapi
Ndio sisi hao..mtusamehe tu😅
 
Kudai kwamba wote wako hivi au wote wako vile ni uongo. Ni uzushi.

Je, kati ya hao wanaJF ‘wote’ nawe umo?

Sijawahi kuona popote pale hapa JF ambapo kila mtu alisema ana gari au yeye ni bosi au sijui kasoma shule bora.

Hiyo ‘wote’ ni projection yako tu.

Acheni uzushi na uongo.
Kapovu kamekutoka. Mwenyewe kasema aliokutana nao. Ngoja nimuulize kama kwenye orodha Miss Natafuta yumo, huenda hilo limekupa hofu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona me sina gari, sina nyumba, sina biashara, sina elimu, sio boss, ssiendagi vacation na ni mwana JF? Au ni mimi peke angu?
🤣🤣
 
Wewe ni muongo tu hahahaaaa.

Unataka kujipatia vi brownie points kwa kuwa seam hao uliokutana ili sijui uonekane uko ‘real’.

FOH with that bullshit.

Mtu anaanzaje kukuambia wewe ana hivyo vitu vyote?

‘Aisee Bujibuji, mimi nina gari, nina madigrii, nina ma akaunti Uswisi, nina mashamba, nina matrekta’…

Wewe ni mzushi tu. You don’t sound believable at all.
hahahaha buji buji amesahau yeye ni GILACE
 
Back
Top Bottom