Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
Asante sana mkuu! Tunashukuru..
Muda mwingine uwe unamnunia mpaka akuletee zawadi [emoji38][emoji38][emoji38]Worry out sweetheart [emoji8]
Kwani saivi una mingapi? TehHaya mapenzi haya matamu kweli natamani ningekuwa 16 yrs old halafu ndio naenda kwenye prom night ni ki crush changu dah
Hongereni
Safi sana mae. Shikilia hapo hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tumeshakuwa mwili mmoja [emoji85] [emoji85]
Old enough aiseee ,unataka kunibeba nini teh tehKwani saivi una mingapi? Teh
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya mapenzi haya matamu kweli natamani ningekuwa 16 yrs old halafu ndio naenda kwenye prom night ni ki crush changu dah
Hongereni
Natamani kumnunia tatizo moyo kaka...Muda mwingine uwe unamnunia mpaka akuletee zawadi [emoji38][emoji38][emoji38]
Naanzaje kuachia sasa?Safi sana mae. Shikilia hapo hapo
Yaani huyu Mungu ni waajabu sana ,hii couple ni exceptional ,yaani naona kama vile ni dada yangu ndio kampata a man of her dreams nafurahi naye pamoja[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shukrani sana Mkuu kwa kututia moyo since day one kabla hata ya sisi wenyewe kujua kwamba mioyo imeshadondokeana hahahahaha
Salute Yamakagashi
Ah utanidondosha bure na kamwili kangu hakaOld enough aiseee ,unataka kunibeba nini teh teh
God blessed the broken roads that led you straight to The Bold ...Absolutely...
I thank God for The bold [emoji120]
Woiiii mimi mwenyewe kimbao mbao hatufaani nataka combination kama ya Zena na BetinaAh utanidondosha bure na kamwili kangu haka
Thank you my dearGod blessed the broken roads that led you straight to The Bold ...
So i wish you nothing but the best
Huyo hapana ,complicated sana ,nataka li kitu lililoshindikanaHa haaa ngoja nikuitie atoto anakufaa
Lililoshindikana si ndo complicated au?Huyo hapana ,complicated sana ,nataka li kitu lililoshindikana
Teh teh hapana aisee ,kitu kilichoshindikana hakiwezi kuwa complicated ,yeye amejitolea kwa chochoteLililoshindikana si ndo complicated au?