Hawa ndio wana JF niliowakubali kwa mwaka 2016.

Hawa ndio wana JF niliowakubali kwa mwaka 2016.

mbona mm sipo jamani au nmekuwa mweusi sn mpk nimeshindwa kuweka ata na mmoja kat yenu humu... siku nyingne mpge kura za siri ili na mm niwemo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh! kweli facebook ina watu wake,wengine tunasindikiza tuu...
 
Unafeli honey, uwe unatoa shukraan kwa niaba ya The Bold's pls.
Yani ktk list moja tupo wote,halafu unashukuru kivyako na mie nije kufanya the same kivyangu?
C'moooooooob bae [emoji17]
Sijui imekuwaje nimepitiwa sijafanya hivyo.. Sorryyyyy hny [emoji85] [emoji85]
 
Unafeli honey, uwe unatoa shukraan kwa niaba ya The Bold's pls.
Yani ktk list moja tupo wote,halafu unashukuru kivyako na mie nije kufanya the same kivyangu?
C'moooooooob bae [emoji17]
Haya mapenzi haya matamu kweli natamani ningekuwa 16 yrs old halafu ndio naenda kwenye prom night ni ki crush changu dah

Hongereni
 
Back
Top Bottom