Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

Namba tatu (3) hapo nakupinga kwa nguvu zote.
Mesut Ozil ni fundi. Ni timu aliyonayo sasa ndio inamuangusha. Na pia wewe kama mfuatiliaji wa michezo hasa soka ndio maana ktk wachezaji 11 uwanjani **** mabeki ma pia kuna viungo wakabaji ma pia kuna wachezaji wa creativity, sasa unataka Ozil acheze namba ya Casimero ili iweje?
 
mtoa mada nakupa hecko ..huwa na waambiaga watu wengi mnooo kuhusu neymar kuwa ni overrated player vyombo vya jabari huwa vinampa heshima ambayo hafanani nayo but watu huwa wanapinga ...nashukuru leo amejitokeza mtu ambaye anamawazo kama yangu ...big up
 

Mleta uzi hapa ndo kabugi step. "Kwa Mimi naona huyu mtoto kikubwa alichojaliwa na Mungu ni kwamba anajua kuuchezea mpira, kutengeneza mashambulizi na uwezo Wa kuweza kutoa assists za kufunga na pia yeye mwenyewe kufunga." 😀😀😀
 
Mkubwa iv zlatan umemfahamu kipindi yuko united? Unamshushia sana heshima kumfananisha na drogba inawezekana hujawah kumuona zlatan wa inter,ac Milan na barca ndo mana unasema nae ni overrated
 
hiyo list yako nakuunga mkono kwa benzema na ozil wengine umetudanganya
 
Huyu mleta mada vipi? Ametaja sifa zote anazopaswa kuwa nazo mchezaji bora kwa Neymar halafu bado kasema huyo mchezaji anapaishwa tu.
 
Nilitaka nimaanishe Arturo Vidal
Arturo Vidal huyu ya Bayern Munich au kuna mwingine tena Juve au bado umesahau tena....
Btw, Benzema hayuko overrated sema tu nafasi anayopewa pake Madrid haitendei haki kabisa, ila sijawahi ona akipewa sifa kama kina Neymar jr ili tuseme yuko overrated.
 
Si bure umeanza kumjua huyu mtu alivyotua Man U. Sio kosa lako.
 
Mkubwa iv zlatan umemfahamu kipindi yuko united? Unamshushia sana heshima kumfananisha na drogba inawezekana hujawah kumuona zlatan wa inter,ac Milan na barca ndo mana unasema nae ni overrated
Inawezekana haju kuwa alianzia ajax pale.
 
Bayern Munich
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…