Daaaah aisee mi nisharogwa...muda wote nawaza kurudi home....hata bia sinywi KWA Raha...tatizo watakuwa wameniroga wawili MAANA HUYU muhudumu wa bar kila wakati naenda bar yake TU...ikifika SAA tatu usiku Kuna nguvu ya ajabu inaniambia Rudi home fasta...