Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Utarogwa kwa kumpa hela, ili usiwape watu wengine hata wazazi wako, umpe yeye tu.
- Utarogwa kwa kumnyima hela, atakuendea kwa mganga ili uache ubahili, anahisi unahonga nje.
- Ataroga ili umpende, ukimpenda zaidi atakuroga Tena uwe zezeta
- Atakuroga ili akushike masikio na akupande kichwani, wakija majambazi ndio atakapo ona alikosea maana badala ya wewe kupambana na majambazi, utawaambia majambazi, "nitawasemea kwa mke wangu"
- Wasipokuroga kwa mganga. Watakuroga kwa mapasta