Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,263
- 1,304
πππππππππnakuhakikishia ikitokea siku ukawaona live utakimbia bila kugeuka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππππnakuhakikishia ikitokea siku ukawaona live utakimbia bila kugeuka....
πππππusichanganywe na fake Id's, wanawake wa ukweli ukweli waliopo jf ni kumi na watatu tu. kwenye hiyo orodha yako, wawili ni madume.
hahahahhahaha ndio nauona uzi muda huu jaman skuwah kujua had ww unanikubali asante mchakataji loh π hapo pa kumpindua hahahhahaha hata kwa mkopo haiwezekaniNamkubali sana Madam S naamini ipo siku nitampindua yule anae mcc na kula Tunda lake tamuu
ππππmkuu ukifanikiwa kumpindua nakupa ukuu wa mkoa jimbo la ubungoπππ
Acha kubana we bibie kwani hiyo papuchi ni sabuni kusema ukitumia inaishahahahahhahaha ndio nauona uzi muda huu jaman skuwah kujua had ww unanikubali asante mchakataji loh [emoji6] hapo pa kumpindua hahahhahaha hata kwa mkopo haiwezekani
π€£π€£π€£π€£usichanganywe na fake Id's, wanawake wa ukweli ukweli waliopo jf ni kumi na watatu tu. kwenye hiyo orodha yako, wawili ni madume.
hahahhaa vyovyote vile me ni wa mmoja tu labda kifo kitutenganishe na s wanadamAcha kubana we bibie kwani hiyo papuchi ni sabuni kusema ukitumia inaisha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nikuombe tukutane tuhahahhaa vyovyote vile me ni wa mmoja tu labda kifo kitutenganishe na s wanadam
cocastic ni mwanamke tangu lini?
Jamaa kaamua kumuweka kidume namba moja kwenye listi ya wanawake anaowakubaliHahahahaha kwahiyo ni mwanaume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahahhahaha ndio nauona uzi muda huu jaman skuwah kujua had ww unanikubali asante mchakataji loh [emoji6] hapo pa kumpindua hahahhahaha hata kwa mkopo haiwezekani
Daah sawa dadaangu tupo pamojaSharobaro la jf shukran sana nimeacha kupost hadithi majukumu yameniandama nimebaki kua msomaji tu
Kwa mujibu wa alivyojitambulisha ni mwanaume mwenye umri wa miaka 19/20,Hahahahaha kwahiyo ni mwanaume
Mambo
hilo nalo pia haliwezekani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nikuombe tukutane tu
Nijambo jema Sana kukubali kile wanacho kifanya wengine na kukiheshim,just Big UpWakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF kuna baadhi ya members wa jinsia ya kike nimetokea kuwakubali na kuwa shabiki wa kutupwa kwao.
5. Joanah - Huyu ni member ambae kipindi naingia humu JF nilitokea kumkubali ghafla kutokana na harakati zake. Japokuwa ni mwanamke ila amekuwa mtu wa kupanga hoja na ana umakini wa hali ya juu.
4. Madame S - Huyu pia ananivutia sana kupitia baadhi ya simulizi zake za humu JF. Mfano mzuri ni ile simulizi yake ya kijini aliyokuwa anaisumulia nikajikuta tu namkubali mno.
3. Pharmacist girl - aaah huyu dada namkubali sana yaani nilibahatika kumuona kwenye jukwaa letu pendwa akibishana na mamen nikajikuta naanza kuwa addected kwake.
2. katoto kazuri - Kwangu naweza kusema huyu ni zaidi ya dada. Inshort aliwahi kunipa ushauri sana na kufanikiwa kupitia ushauri wake. Ni mmoja wa wanawake wa JF ambao ni majasiri na pia wana misimamo ya hali ya juu sana. Katoto kazuri japo sikufahamu sura ila nakukubali sana na karibu sana nyumbani kwangu uje nikupikie chakula kitamu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
1. cocastic - Huyu pia namuweka kama namba moja kwangu. Ni aina ya wanawake ambao ni adimu sana kuwapata. Kiukweli sio kama namsifia sana ila misimamo yake na harakati zake humu JF nadhani mnazitambua. Nimetokea kuwa shabiki ake wa kutupwa sana, you are number one to me.
Mwisho wa yote msisahau kunawa mikono kwa maji na sabuni COVID19 inaua