Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Usikute tu una agenda ya siri ya kula tunda kimasihara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Aysenem😉Mimi nawakubali sana
5 sky eclat
4 mamdenyi
3 k matata
2 kawe alumni
1 bia yetu
Kuna evidence kuwa hawa ni "ke"?Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF kuna baadhi ya members wa jinsia ya kike nimetokea kuwakubali na kuwa shabiki wa kutupwa kwao.
5. Joanah - Huyu ni member ambae kipindi naingia humu JF nilitokea kumkubali ghafla kutokana na harakati zake. Japokuwa ni mwanamke ila amekuwa mtu wa kupanga hoja na ana umakini wa hali ya juu.
4. Madame S - Huyu pia ananivutia sana kupitia baadhi ya simulizi zake za humu JF. Mfano mzuri ni ile simulizi yake ya kijini aliyokuwa anaisumulia nikajikuta tu namkubali mno.
3. Pharmacist girl - aaah huyu dada namkubali sana yaani nilibahatika kumuona kwenye jukwaa letu pendwa akibishana na mamen nikajikuta naanza kuwa addected kwake.
2. katoto kazuri - Kwangu naweza kusema huyu ni zaidi ya dada. Inshort aliwahi kunipa ushauri sana na kufanikiwa kupitia ushauri wake. Ni mmoja wa wanawake wa JF ambao ni majasiri na pia wana misimamo ya hali ya juu sana. Katoto kazuri japo sikufahamu sura ila nakukubali sana na karibu sana nyumbani kwangu uje nikupikie chakula kitamu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
1. cocastic - Huyu pia namuweka kama namba moja kwangu. Ni aina ya wanawake ambao ni adimu sana kuwapata. Kiukweli sio kama namsifia sana ila misimamo yake na harakati zake humu JF nadhani mnazitambua. Nimetokea kuwa shabiki ake wa kutupwa sana, you are number one to me.
Mwisho wa yote msisahau kunawa mikono kwa maji na sabuni COVID19 inaua
😂 😂 😂 😂 😂Hao wote ni wanaume
Mkuu unaeza ingiza voko ukijua demu kumbe njemba inakataa hata kukupa namba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahhahaha kama kuna ukweli vileMkuu unaeza ingiza voko ukijua demu kumbe njemba inakataa hata kukupa namba
Wewe nakukubali sana.Niko hapa dear.
Awwww!! Thanks my lovely brother[emoji8]Wewe nakukubali sana.
Anko kwema?Uwiiiiiiiiiih ahsante kwa kuwa shabiki wangu, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] lol
Kwema hiyo vepeeeeh? Lol uwiiiiiiiiiiihAnko kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23]Anko kwema?