Hawa ndio wapenda kuvaa suruali za vitambaa jf /nguo...

Hawa ndio wapenda kuvaa suruali za vitambaa jf /nguo...

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Hawa watu wafuatao ni wavaa suruali waliobobea kunako fani hii..
Ni zile suruali zao zinazong'aa kama bati (satini)
Pia huwa wanavalia suruali tumboni...
Lucas Mobutu
CONTROLA
Nyaru-sare
Daby
Mshana Jr
Kawe Alumni
MKWEPA KODI
Asprin (huyu anavaaga na vinyandu siku nyingine)
Kichwa Kichafu
Ushimen (jina lake tu linasadifu yaliyomo)
Bujibuji
Bonny
Smart911 (huyu mambo yetu huwa anatuachia wenyewe)
RRONDO
troublemaker (huyu ni kijana mzee)
matunduizi (toka enzi za mkoloni yeye ni vitambaa tu)

Hawa ni wachache tu wengine mtaongezea..
 
Baada ya huu uzi kunikadiria navaa nguo za vitenge sijawahi kukuamini chochote kuhusu mavazi ya wana JF 😂😂😂
Japo najua ni utani

 
Joanah,
Sasa nilikusahau tu sio Nilikosea..
Si naskia umekuwa kibonge ndo maana 😀😀😀
 
Baada ya huu uzi kunikadiria navaa nguo za vitenge sijawahi kukuamini chochote kuhusu mavazi ya wana JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Japo najua ni utani

Bora aiseee umetambua huyu mpga soga tu asiaminike kama Li.pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom