Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi babe wangu Kichwa Kichafu jamanii[emoji848], utafiti batili huu, hawezi kuvaa satini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja umemsingizia havaagi suruali za vitambaa zaidi ya kadeti tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ulichoshindwa kusema ni kuwa unatuona sisi wazee!
I'm his designer , siwezi mvalisha babe wangu satini aiseeanavaaga boxer kichwani ?[emoji28] kama havai shati
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi nahisi kwako kakupatia asilimia mia kabisaHa ha ha ha Pancho una Corona itakua Dogo...
Mdogo wangu unafel mikato ya satini sio yangu kabisaaaa
Dah mimi nakufiliaga najuaga unavaaga zile surual flani za watu wa mbeya ambazo unaweza ukatoa hata sketi mbili mbili za watoto wa kidato cha tanoMdogo wangu unafel mikato ya satini sio yangu kabisaaaa
Hahaha.
Mashati ya watu wa Mbinga ndiyo yapi mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] beira bwanaDah mimi nakufiliaga najuaga unavaaga zile surual flani za watu wa mbeya ambazo unaweza ukatoa hata sketi mbili mbili za watoto wa kidato cha tano
Sent using Jamii Forums mobile app
We beira naona na ndugu yako pancho corona imehamia kwako... kwanza hzo nguo sjui hata nikiweka pigo zangu za surual za kitambaa utagawa dada zako woteDah mimi nakufiliaga najuaga unavaaga zile surual flani za watu wa mbeya ambazo unaweza ukatoa hata sketi mbili mbili za watoto wa kidato cha tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Satini kwa mkaka si mchezo, akivaa nyekundu kwa mbali kama kibanda cha mpesa.[emoji3][emoji3][emoji23]kuna nguo mi siwezi vaa
ndio maana nimemlaani mleta mada
Sent from my iPhone using JamiiForums
Satini kwa mkaka si mchezo, akivaa nyekundu kwa mbali kama kibanda cha mpesa.[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, anakua kama mti wa alizeti wallah, afu ndye wewe mwenyewe usisingizie jamaa hapa[emoji23]kuna jamaa anayo nyekundu na njano
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hadi babe wangu Kichwa Kichafu jamanii[emoji848], utafiti batili huu, hawezi kuvaa satini.
Sent using Jamii Forums mobile app