Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Mwaka tisini yanga walitupiga tatu,kipa akiwa patrick mwangata,Said mwamba kizota ilikuwa machine ya ufungaji nayo
Nmewakumbuka wakina gagarino,kuna huyu wa nyuma kdg
John makelele zigzag
Ova
Rekebosha Mkuu ni Celestine Sikind Mbunga , hatari sana.Kuna akina abedi mziba, Moses mkandawile, Niko bambaga, mandata rubigisa , fumo felisian, Makumbi Juma, athumani china, jastin mtekele, malota soma, Christian sikinde mbunga, deogratias muhani, Juma mgunda, sahau kambi , smart boy husein Masha, twaha hamidu, idrisa ndunguru, fled Felix minziro, na wengine wengi
Umenikimbusha Hilo jina, Reli ya Morogoro nayo ilikuwa inazingua Sana timu kubwa.Mi pia nilitegemea majina ya kina fikiri magoso (big boy), miaka ya tisini kuna msela tulikuwa tunapiganae vyombo, alikua anachezea Reli ya morogoro,Duncan butinini,alizunguaga morogoro hoteli nadhani,wahuni wakamtoa meno ya mbele
Mkuu unakumbuka upo shule ya vidudu sio?Nimekumbuka mbali sana
miaka gani hiyo mkuu?Umenikimbusha Hilo jina, Reli ya Morogoro nayo ilikuwa inazingua Sana timu kubwa.
Hao wa juzi tu. Kuna akina Masumenti, kajole. Aluu mwitu Ishak mwituMbona hawa nao ni juzi tu.
Bora kina Adam Sabu,Gipson Sembuli, Hussein Ngulungu,nk,nk
sawa chiefWewe dogo sana unataja watu wa juzi njoo na George Magere Masatu
Hussein Amaan Masha
Nico Bambaga
Edward Chumila
Sanifu Lazaro Tingisha
Mohamed Mwameja
Mtangazaji awe Juma Nkamia
Ulikuwa unamuona pande zipiNilikua class 2 kila asubuhi nikienda shule nakutana nae ametoka mazoezini, ni handsome balaaa ananivutia.
Nikauliza binamu yangu huyu kaka kila siku tunakutana nae ni nani?
Akanambia Bahanuzi huyo mchezaji wa Yanga[emoji119][emoji23] Tokea siku hiyo na mimi nikawa YANGA[emoji169][emoji172]
Msimbazi centreUlikuwa unamuona pande zipi
Kumbe mgunda kacheza ballKikosi cha Coastal Union kilichochukua ubingwa wa ligi (sikumbuki mwaka)
1. Mohamed Mwameja
2. Said Kolongo
3. Joseph Lazaro
4. Douglas Muhani
5. Yasin Napili
6. Ally Maumba
7. Elisha John
8. Kasa Mussa
9. Hussein Mwakuruzo
10. Juma Mgunda
11. Razak Yusuph "Careca"
Kuna story ya huyu Nurdin Bakari. Baada ya kung'aa AFC Arusha alisajiliwa na Simba. Kichekesho kikawa akachaguliwa timu ya taifa ya under 17!1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa
Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
Unajua ilikua mwaka 2012 Ile?.unatudanganya hapa mkuu haukua la piliAlikua handsome sanaaa! Wewe fikiria nilikua darasa la pili lakini nilidata
Tuliofanya mitahani 3 ya shule ya msingi darasa la Saba tujuane na tusicomment neno hapa🤣🤣🤣🤣1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa
Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
Una cheti changu cha clinic?Unajua ilikua mwaka 2012 Ile?.unatudanganya hapa mkuu haukua la pili
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
QURRESH UFUNGUO1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa
Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
NICO BAMBAGAHapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.