Hawa ndio wasanii bora wa Tanzania

Hawa ndio wasanii bora wa Tanzania

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Hii ni kwa mujibu wangu mimi Student teacher na hakuna mtu anaye nipangia cha ku post.

Kwa anayependa muziki mzuri wenye ladha nzuri kwa upande wa bongo fleva ataungana nami kuwa hii ndiyo list ya wasanii bora wa bongo fleva (sijazipanga namba kulingana na ubora)

1.Ben Pol
2.Lameck Ditto
3.Chege
4. Mwana FA
5. mrisho Mpoto
6.Kassim Mganga
7. Barnaba
8.Stamina
9.Lady JD
10. Joseph Haule

Nimefunga list. kwa wale wenye timu zenu za instagram zisizo na kocha wala captain povu linaruhusiwa.

Pambana na hali yako
 
Hiyo list kama hayupo Dudu Baya sijaikubali.
 
Jf imeingiliwa,haya mambo huku hatuyataki ninyi watoto.
 
Kwahiyo hao ndio wasanii vilaza kuliko wote TZA?
 
Umejikagua malinda ukaona yote yameenea 16 chini na juu?

..Mond...
Mim kazi yangu ni kufumua hayo malinda, nikishakufumua ni kazi yako kuhesabu kana yamekamilika, siku nyingine njoo umejiandaa
 
Ungelimuweka Darasa ningelikuwona we wa maana make Darasa anaimba classic música
 
Back
Top Bottom