Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆Nchi itakuwaje serious kama mtu kama baba Levo anapewa coverage kwenye media?
Kweli kabisaLamata limenenepa hadi linatia kinyaa!! Anaonekana ni mlafi sana halafu anapenda sifa utasema mtoto!
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
View attachment 3005691
Wacha nao wale keki ya Taifa. Na ikumbukwe pia wanalipwa per diem Shs 1,000,000/= @ kila siku kwa siku zote watakazokuwa huko.
Huyu ana sifa zoote za kuwa mama yako hivyo hata kama hukubaliani nae kwenye mambo yake kiuongozi, mkosoe bila kumtukana personally, hii kidogo sio sawa..
Critise her constructivelly and objectivelly ili kujenga.
Ni mama wa mtu pia yeye
Mkorea gani atanunua Miziki ya Bongo Fleva?! Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha zetu tunazolipa Kodi.
Je walikwenda kufanya nini hasa Korea? Kuimba? Ni kupoteza fedha zetu, rais anapaswa kuambatana na wataalam wa sekta mbalimbali sio hao wasanii, unafikiri nchi yetu itaendelezwa na wasanii kweli mheshimiwa rais?!Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
View attachment 3005691
Angeambatana na Maghayo pia, ili amuone Jumong S Live. Maana hizi Id adriz na Mufti kuku The Infinity huwa zinamchanganya sana 😂Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
View attachment 3005691
Huo msafara na huyo Raisi wameenda kwa miguu na wamejilipia gharama za Hoteli huko Seoul kutoka mifukuni mwao?!Fedha zenu hapo zimetumika wapi?
Shida ipo wapi ukitaka aende na nani...subra muhimu sana..zamu ya wengine ipo pia tuwe na subraKingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
View attachment 3005691
Huo msafara na huyo Raisi wameenda kwa miguu na wamejilipia gharama za Hoteli huko Seoul kutoka mifukuni mwao?!
Amealikwa au ameenda kutembeza Bakuli?!Rais amealikwa na Rais wa Korea,
Swali ni unajua utaratibu wa Rais akialikwa sehemu?
Kama haujui then uliza
Ni kama namuona lamata na huyo sister wa kwenye tamthilia ya SiriKingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?
Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?
Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
View attachment 3005691
Hapo sawa, japo sio sawa sana piaI think anamsema lamata na sio Rais