Hawa ndio Wasanii walioongozana na Rais ziarani Korea, Je Mnawafahamu na Wameenda kufanya nini?

Hawa ndio Wasanii walioongozana na Rais ziarani Korea, Je Mnawafahamu na Wameenda kufanya nini?

Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?

Je tukisema kwamba jambo hili lilikuwepo kabla ya kusemwa tutakuwa tunakosea?

Ifahamike kwamba hatuna uwezo wa kumpangia Rais watu wa kusafiri nao, maana Urais ni wake mwenyewe na watu wake, lakini kwanini tudanganywe, hii ni kwa faida ya nani?

Pia soma
- Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

View attachment 3005691
Siku nikisikia limekufa hili jitu nitafurahi Sana. Ni la hovyo kuliko hata hovyo yenyewe.
 
Chapuchapu Mkorea anakutandika mkopo eti wenye riba nafuu.

Msaada pekee wa muhimu ambao Korea wangetupa ni free scholarship kila mwaka kwa vijana wetu wakutosha hasa kwenye technical studies.
 
Yaan badala ya kuambatana na wanasayansi na waona fursa yeye anabeba hizo takataka za Nini?kwa faida gan kwa nchi?
 
Back
Top Bottom