Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
we achana nao maisha yatawaambia!!![/QUOTE]
Tuwaoombee kwa MOLA wawe na masikio ya KUSIKIA.........
sijaelewa mantiki ya hii mada
Mungu awaongoze
INASIKITISHA KUONA BAADHI YA WASOMI WANA SIFA HIZI
1.Jukwaa la elim wanabishana kuhusu din.
2.Wapo vyuo hawajal masomo wanabishana kuhus kip chuo bora.
3.Mtu akipost jambo akiwe yeye hajalipenda analikashif na kuwakatisha taamaa wenzake wasichangie.
4.Ukimtaka ushaur wa kielim anakuona wewe kilaza.
5.Ukikosea hata neno moja kuliandika utamsikia huyu mbulula ametokea wap? Utadhan yeye anajua kila ki2.
Mungu yupi? God au Allah?
Mtu anayejiona anajua kila kitu ndivyo anavyokosa kujua mambo mengi zaidi lakini yule anayejiona hajui ndivyo anavoweza kujua mambo mengi zaidi. usikatishwe tamaa na changamoto za wanaojiona wanajua, siku zote penda kujua mambo mengi zaidi.
sijaelewa mantiki ya hii mada