Hawa ndio wasomi wetu wa vyuo

Hawa ndio wasomi wetu wa vyuo

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
INASIKITISHA KUONA BAADHI YA WASOMI WANA SIFA HIZI
1.Jukwaa la elim wanabishana kuhusu din.
2.Wapo vyuo hawajal masomo wanabishana kuhus kip chuo bora.
3.Mtu akipost jambo akiwe yeye hajalipenda analikashif na kuwakatisha taamaa wenzake wasichangie.
4.Ukimtaka ushaur wa kielim anakuona wewe kilaza.
5.Ukikosea hata neno moja kuliandika utamsikia huyu mbulula ametokea wap? Utadhan yeye anajua kila ki2.
 
Itabidi Mzizi Mkavu atuletee somo la upevukaji wa binadamu.

Kuna wakati uwa nahisi labda kuna ambao bado inawasumbua

ingawa ni watu wazima.Ni mawazo tu.
 
inasemekana kuwa binadamu hatupo sawa kwahiyo ndugu wasikuumize kichwa coz wajinga cku zote ndo wanaoleta huo upuuzi.
 
INASIKITISHA KUONA BAADHI YA WASOMI WANA SIFA HIZI
1.Jukwaa la elim wanabishana kuhusu din.
2.Wapo vyuo hawajal masomo wanabishana kuhus kip chuo bora.
3.Mtu akipost jambo akiwe yeye hajalipenda analikashif na kuwakatisha taamaa wenzake wasichangie.
4.Ukimtaka ushaur wa kielim anakuona wewe kilaza.
5.Ukikosea hata neno moja kuliandika utamsikia huyu mbulula ametokea wap? Utadhan yeye anajua kila ki2.

msomi lazima awe na critical thinking! Kama wote tukifikiria sawa ina maana wengine hawafikiri.
 
Mtu anayejiona anajua kila kitu ndivyo anavyokosa kujua mambo mengi zaidi lakini yule anayejiona hajui ndivyo anavoweza kujua mambo mengi zaidi. usikatishwe tamaa na changamoto za wanaojiona wanajua, siku zote penda kujua mambo mengi zaidi.
 
umeona eeh
 
Usemacho ni ukweli kabisa. Sijui huko vyuo kuna nini siku hizi yaani hata lugha ya kutumia ktk jamii hawajui baadhi yao. Si neno zuri kumuita mwenzako mbulula haipendezi. Kila mtu ana uhuru wa kuchangia kulingana na mtazamo wake , ni vizuri kuheshimu mawazo ya mtu hata kama hukubaliani nayo. Toa hoja kupinga hoja.
 
msomi haogopi changamoto ndugu!!! shukuru mungu kwa huu muda muafaka wa kupambana na changamoto za wasomi! na usilalame!!!!
 
Back
Top Bottom